Nina million 7 nahitaji Spacio new model au IST

Nina million 7 nahitaji Spacio new model au IST

Mkuu kama unahitaji nicheki kupitia 0757676742 gari xaf kabisa kwa mil 6.5
 
Hiyo hela tuipeleke shambani mkuu, nina strategy na plans zote na baadhi ya vitendea kazi.

Pesa tu ndio changamoto, tena m7 tutalima shamba kubwa sana. Nipo serious. By next year this time tunaweza kuwa mimi na wewe tunamiliki gari kali zaidi ya hilo. Kila mtu lake na shamba bado mtaji upo
Siye wa Dar tunataka kurahisisha maisha wee unawaza majembe
 
kwa hali inavozid kuwa ngumu gari litakuja uzwa ml3,, vp kuhusu viwanja navyo vimeshuka??
 
Habari wadau,

Naitaji gari ya kununua kwa mtu.

Iwe Spacio new model au IST.

Namba D ndio itapewa kipaumbele.

Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.

Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm

au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo tunafanya biashara.

Natanguliza shukrani, nipo DSM
Kwa hiyo hela heri ununue gazeti ujipepee.
 
Mijitu mingine kwa 'rogho' mbaya.

Haya, kama hujapata bado nitafute nitakutafutia bureeee,

Si unaishi madalali tunafaidi sana?
Ndio maana wengine hamfanikiwi.

Piga: +255-714-59-15-48.
 
Mkuu ingia kupatana.com search IST au spacio zitakuja nyingi tu uchague. Pia kwa uzoefu wng nakushaur usiangalie no. Kama ni namba D au C angalia engine ya gar na mambo mengine kama mileage na past user's experience eg women drive nk
 
Hiyo hela tuipeleke shambani mkuu, nina strategy na plans zote na baadhi ya vitendea kazi.

Pesa tu ndio changamoto, tena m7 tutalima shamba kubwa sana. Nipo serious. By next year this time tunaweza kuwa mimi na wewe tunamiliki gari kali zaidi ya hilo. Kila mtu lake na shamba bado mtaji upo
Dah, hii JF hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom