Recent content by Pascal96

  1. P

    JamiiForums Tanzania Amini tu kama unavyo amini tarehe yako ya kuzaliwa wakati uliikuta imeandikwa tu na wazazi wako. Kila kitu ni Historia

    Na je waliozaliwa siku ya sikukuu wakapewa na majina yanayoenzi siku hiyo watakosaje kuamini!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

    Nimechelewa kuona Tangazo vip naweza kufika kesho?
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Nidhamu ya fedha atakuwa nayo lakin hata ukiwa kwa situation iliyoni ni hata ukiwa unaumwa yeye ndo mwenye final say ya kusema hela itoke ukatibiwe au isitoke
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Siku akija kulia na kusaga meno ushauri wenu utakuwa ni wa kumkosoa amin nawaambia!!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

    Nimetulia kwa makini nasoma comments za wadau mpaka nimejiuliza mimi ni nani na nnakwenda wapi!! Aisee haya maisha haya basi tu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Amekuja kupata ushauri na mawazo sio kulialia
  7. P

    JamiiForums Tanzania UDOM: Wanaodai hawajapata vyeti tangu 2020 waje watuone, inawezekana system imewanasa labda walifanya udanganyifu

    Naona Kila mtu anajiongelea tu anavyojiskia uhalisia wanaujua wao Wala sio disco, incomplete na mengineyo ,,hapo viongoz si wawasaidie kutatua changamoto zao
Back
Top Bottom