Ni wazi kwamba maisha magumu yanayotokana na mfumko wa bei yamesababishwa na Serikali ya CCM, bidhaa zinapanda bei kipato ni kilekile kwa watanzania, mishahara imesimama, shilingi inashuka thamani, wanafunzi vyuo vikuu wanakosa mikopo na wengine wanaahirisha miaka.mama zetu wanajifungua katika...