Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

wassira.jpg

chipanzee.jpg


kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! Kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
Tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti


hidhi ni dhambi........
 
wassira.jpg

chipanzee.jpg


kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti
Teh teh teh teh teh teh teh, du nimecheka mpaka nimepaliwa!!!!!!!!
 
Da!! Dada Halima kaua zaidi wakuu...nadhani hii itakuwa funga mwaka.
 
kwani mtu akipata ubunge anaenda na mke wake bungeni? halafu kumfananisha mtu na sokwe simbaya ilimradi kama kweli wanafanana.Halafu zingatieni ujumbe alioutoa Mdee badala ya kuchukua neno mojamoja.
 
Nikiangalia umri wa mdogo wangu Mdee sidhani kama alipaswa kumjibu mzee Wasira hata kama ni siasa but ndo napata picha kamili ya nidhamu hovyo ya viongozi tulionao zama hizi.
 
Kwa kampeni za Arumeru Mashariki kwa sasa. ni ngumu utangaze sera wakati mwenzio anachofanya ni kukuchafua.
Acha wajibizane kwanza ila watakaoonekana wajinga ni wale wazee waropokaji. Nadhani wote tunajua wanapatikana chama gani.

Inasikitisha sana hasa pale Muasisi wa kurusha matope kwa wengine anapokuwa aliyewahi kuwa rais kwa miaka 10. Huyu Mkapa ndiye alianzisha rafu mwanzoni kabisa mwa mechi sasa tunategemea refa atatoa kadi nyekundu kwa nani kwani hathubutu kutoa kwa Mkapa bali ni kujikalia pembeni na machela kusubiri majeruhi na maiti.
 
nikiangalia umri wa mdogo wangu mdee sidhani kama alipaswa kumjibu mzee wasira hata kama ni siasa but ndo napata picha kamili ya nidhamu hovyo ya viongozi tulionao zama hizi.

kuna shida kubwa kwenye kundi la viongozi vijana...mm mwenyewe nilishangaa sana kipindi kile akina shigela walivyokuwa wakimporomoshea matusi dr.slaa! Kiukweli nidhamu sasa hakuna! Siasa zimekuwa si-hasa!!!!!!!! Ila wasira anastahili kwa sababu hana adabu!!!!!!!!!
 
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
Lakini bwana mengine ni ukweli Wasira akivaa suti zake zile zenye kuacha kifua wazi, ukilinganisha na picha za Jane Gudall za kule Gombe kwa sokwe wanaofanana na wanadamu kwa 98% unaona kama na kifua chake ni kama ... basi tu si busara kumwambia mtu ukweli wenye utata na kupuuza uongo usio na maslahi aliosema yeye Wasira kuwa Dr. Slaa ni mwizi wakati hana hakika na anachokisema. Hii ni hatari katika siasa za Tz kama tunawatuhumu watu bila kuwa na facts
 
wassira ameamua kunya sebureni sasa anapakwa kinyesi chake

Aliharibu kwa kusema Slaa alifisidi mamilioni ya fedha wakati wa ujio wa Pope John Paul II... Hakuishia hapo,eti alimfukuza kazi mweka hazina wa Chadema kwa kushindwa kumpa "mchumba" wake Josephine Mushumbusi Mil. 10..
 
Teh teh teh teh teh teh teh, du nimecheka mpaka nimepaliwa!!!!!!!!

Mimi je... Hivi nawasiliana na lawyer Klorokwini nikamsue maana mbavu zangu tatu zimekreki,mbili zimepata ufa,na moja inashekisheki...

Nami natibiwa Apollo!
 
Haya ndiyo matatizo ya pwesonal politics. For here losers are wananchi, mwanzo nilifikiri kuwa halima mdee hakusema ila nimegundua kuwa katamka, sometimes inaruhusiwa kuweka sarcacism baada ya kumwaga sera. Japo si-recommend mtu kuitwa Sokwe ila kama ni Sarcastic kuamsha baraza inaruhu ili mradi tu iwe fair game na kwa kuwa CCM walilianzisha basi naona hii ni fair game. Ila CDM wanapaswa ku-walk fine lines waangalie wasiwe distracted na personal politics maana itanufaisha CCM zaidi kwani lengo lao ni kufanya-distraction ili watu wasijadili issues matter to voters.

Msikilize Mdee kamwaga sera vizuri sana, big up na kama unataka kumsikiliza kuhusu hoja ya kushambulia Wassira nenda 40 seconds before the end of the clip.

 
Last edited by a moderator:
Ukipondwa mawe na mhuni nawe rusha mawe ndio mtaelewana kwa sababu ndio lugha anayoielewa.Kudos Halima Mdee!
 
Back
Top Bottom