Recent content by Pascal A

  1. P

    Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

    Ndugu, kila kitu huwa na chanzo then kinaenezwa kote, ulianza fika kwa wenzetu then tukapata nasi. Utumwa uko wapi mwamini MUNGU tu utaishi
  2. P

    Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

    Pole sana kwa kupotea mazima.
  3. P

    Ongezeko la misambwanda mtaani kunavyonifanya nizidi kuuogopa na kuuchukia uzee!

    Pumbavu kabisa, jiandae kuwa masikini kila mwaka hadi uzee wako Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
  4. P

    Je, ni sahihi shemeji yako kufanya usafi kwenye chumba unacholala wewe na mkeo

    Umeongea vizuri sana. Kanywe soda duka la jirani uwaambie ndakuja kulipa. Mara nyingi watu huwaza mabaya tu, kama mdogo wa mke akiwa na tabia mbaya unamweleza dada mtu, haiwezekani unamtimua mdogo mtu
  5. P

    Mauzauza: Nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu

    Pole, ila Usichanganye Imani kama unatumia udi, chumvi, ubani, hirizi na vinginevyo tumia hivyo tu. Na kama unamkiri Yesu Kristo Bwana au damu yake hakikisha una uhalali wa kulitumia. Uwe safi hakuna chochote kitakacho kusumbua maana yeye hachangamani na yeyote. Jina lake na Damu yake...
  6. P

    Mambo 5 ambayo wanaume mnaweza kujifunza kutoka kwa wanawake.

    Pole, mwanaume ameumbwa kujitoshereza. Kama ni mkristo angalia laana aliyopewa adamu, Kwa jasho utakula na ardhi ikaamuliwa kuota nyasi na cheki ya Eva, kwa uchungu utazaa. Hivyo toka awali mwanaume lazima ugangamale ili maisha yaende. Hatuna cha kujifunza toka kwenu
  7. P

    Wapi Bora? Kuacha kazi Serikalini mshahara 900k na kuingia Private mshahara 3Mil Contract 4 years

    Fanya kazi serikalini, achana na private mradi ukiisha na kazi imeisha unaanza upya kutafuta ajira. Miaka minne sio mingi na unaweza isifike ukapigwa chini. Fikiria kwa makini na kama unafamilia ndio ufikirie zaidi
  8. P

    Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

    Yapo tena ya umilele ndugu. Ila ukitaka kuipenda dunia na mambo yake utaishia sema hayapo. Believe me tengeneza na Mungu kabla hujafa. Jiulize. 1. Je Mungu yupo? 2. Uchawi upo? 3. Kama haupo basi huviamini vitabu vya dini.
  9. P

    Vodacom wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu

    Lipa deni masharti yao yako wazi. Voda nawapenda na ndio mtandao ninaouamini wana huduma za uhakika sana
  10. P

    Kwanini uliacha kwenda kanisani?

    Hatupaswi kuwahukumu watumishi wa Mungu maana hukumu ni juu yake yeye mwenyewe. Jukumu letu ni kuwaombea watende kazi zao vizuri, usiinue kinywa chako kuhukumu
  11. P

    Kwanini uliacha kwenda kanisani?

    Kama umeacha kwenda na unamwabudu Mungu kwa roho na kweli basi Mungu akubariki. Lakini maandiko yanasema " .....msiache kukutanika ..." Kanisa linapaswa kujiendesha lenyewe ni lazima lijengwe na waumini, na sio muda wote panakuwa na michango mingi. Nikuombe ndugu yangu kama muumini wa kristo...
  12. P

    Uchawi haupo, ni imani tu

    Ukiamini Yesu yupo hata uchawi upo. Huwezi kutumia jina la Yesu, huku kitabu kilichomwandika Yesu kinatuambua uchawi.
  13. P

    Kilichotokea kwa Gwajima na Shehe Majini kiwe fundisho kwa wananchi

    Labda .msemo wa waswahili mganga hajigangi ndio uliotekelezeka ha ha ha ha ha. Wajumbe noma sana
  14. P

    Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa

    Hiii inategemea amekufa nani na wapi sasa watu wanakufa kila siku misiba yote misa aongoze askofu tu?. Sijaona mantiki ya swali lako limekaa kishabiki sana halina maana
Back
Top Bottom