Recent content by Partnership Auditor

  1. P

    JamiiForums Tanzania Shinyanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbona hamjaweka matokeo.
  2. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA kupata kipigo kikali Tabora, Morogoro, Dodoma na Mwanza

    Imani ni hakika ya mambo yasiyotarajiwa ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Ukawa tuendelee kujipa matumaini lakini kwa Mwanza tunazidiwa mchana kweupe. kuna vijiji ambavyo Lowasa atakosa kura kabisa mfano Ng'wangika, Chandulu, Kinango, Nyashimba, Nh'haya nk. Lowasa atapata ziwani tu lakini sehemu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi: Mgawanyo wa kura mikoani

    Ni rahisi sana kusema kwa kuangalia watu lakini ukweli hupingiki kuwa Mwanza ukawa watapata mjini tu ila ukivuka mjini kura nyingi atapata Magufuli hata kama hamtakubali ila mwisho wa siku mtaniambia. Kuhusu Dar es salaam hiyo muiache kabisa watu hao hawatabiriki shughuli za...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa CCM ni ileile oooh ni ile ileee, usitumike Kwenye Kampeni

    hayo ni mawazo yako ndg uwe na ufafanuzi mzuri sio kutafasiri vibaya
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Wadau ni kweli mpaka mwisho Lowassa hakuingia kwenye msiba au baadae aliingia.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

    Kiwango cha PAYE walisema kitapungua kumbe kimepungua kwa kiwango kidogo cha namna hii hapo tu ndio sio sawa. Ingekuwa digit moja na si kupungua kwa kiasi kidogo namna hii.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Je serikali kutokumlipa mshahara mwalimu mwenye masters ya ualimu ni sawa?

    Mwalimu anapasaswa azingatie anatoa matokeo gani na si kuja na vyeti akataka mshahara upande. Swali la kujiuliza mwalimu anasoma ili aongeze ujuzi au aongeze mshahara.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

    Tunapaswa tusubiri maamuzi ya chama tu na sio kutoa unabii/utabiri.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Umamuzi huu wanachama mkae kimya ili kukifanya chama kiendelee na uwezekano wake wa kuchukua dora. Tafadhari naomba wachangiaji msichangie kwa ushabiki.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hatutakubali hili la nyongeza ndogo ya mshahara!

    Pleni sana watumishi wa Serikali hii ambayo siku zote imekuwa upande wa wafanyabiashara na kuwaacha wafanyakazi na wasio na kazi bila mtetezi.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni:'MARUFUKU KUVAA SURUALI NA SKETI FUPI'

    Ki ukweli nyie dada zetu mmezidi mnaenda kwenye maofisi ya watu huku mko nusu uchi mnatafuata nini kwenye ofisi zile watu wameoa wewe unaenda kutafuta nini ukiwa unaonesha maumbile yako? Kilichokusumbua uende na nguo za hizo ni Pepo hivyo likiondolewa utakuwa huru na utavaa vizuri.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Kamanda Lema: Mawasiliano yangu na Godbless ni magumu..Napenda anavyopambana

    Huyu mzee anapaswa awe mfano wa kuigwa na tunaomba aendelee kumuombea mtoto wake ili afanye vizuri zaidi katika kuitumikia nchi ya Tanzania
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

    Yote kwa yote tunasubiri 2015 watahojiwa tu.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

    Ifikie Mwisho mambo haya mumwachie Mungu maana ndio pekee atatusaidia kama nchi. Unajua kabisa kuwa CCM wako juu ya sheria inakuwaje unapendekeza wakahojiwe? Subiri baada ya chadema kushika dora 2015 watahojiwa.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Lissu: Lwakatare hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka; Serikali nani alihusika?

    Kweli nimeamini kwenye nchi hii kuna watu wako juu ya sheria, kwa nini Mwigulu asihojiwe nae ili tujue baada ya Lwakatare atarusha video clip ya nani.
Back
Top Bottom