Lissu: Lwakatare hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka; Serikali nani alihusika?

Hili Jeshi la Polisi limethibitisha kwa mara nyingine tena linafanya shughuli zake kwa maelekezo ya CCM.

Wameshindwa kuwapata waliomteka Dr Ulimboka tokea alipotekwa mwaka jana, wameshindwa kuwakamata waliomteka Kibanda siku kadhaa zilixopita, eti sasa wanadai wamemkamata Lwakatare kwa tukio la `kufikirika' la kutekwa kwa Msacky, tena amefunguliwa mashtaka ya ugaidi!!

Inashangaza kwa madudu yote haya ya Jeshi la Polisi, inawezekanaje IGP Mwema aendelee na kazi. Kama waTZ tusiposhinikiza IGP Mwema aondoke kwenye nafasi hiyo, tusije kushangaa ifikapo mwaka 2015 waTZ wote tunaoipinga CCM tukawa tumesekwa ndani kwa makosa ya ugaidi, ili CCM ipite bila kupingwa!!!!!

we waache tu, watakuja kuumbuka siku watakapotakiwa kutoa definition ya ugaidi na gaidi, hapo m..a..vi yatagonga bukta zao za ndani. Manake hili wamekurupuka kwa kufuata maagizo bila ya kulitafakari kwa kina. Maji yamekwisha mwagika na hawawezi tena kuyazoa, wasubiri mrejesho wake. Sijui wataficha wapi mijisura yao
 
Mi sikuwepo enzi kina Nyerere wanapigania uhuru, lakini nikisoma historia naona matukio waliofanyiwa na wazungu ni kama yanafanana
 
Wana haraka kama cha kwanza, hii ni video moja tu kati ya tano za mutu ya Bukoba, kabla haijamalizia na kile kitabu cha TUNTEMEKE ndani, wauaji wotenlazima waanikwe hadharani.
duh kwa hiyo kesi kupelekwa mahakamani ni magumashi tuu makanjanja munamwaga mchele hapa na kuku watasakula watatumia ushahidi huu huu kama wao walivyotumia ushaidi wa video kumkamata Lwakatare
 
Hivi kesi ya ugaidi ina dhamana? Maana sijawahi sikia kesi ya ugaidi ikiendeshwa TZ

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuwa na subira kaka mambo ndiyo yameanza.

Nadhani wewe unamjua aliyewadhuru Mwakyembe na Profesa Mwandosya. Unaweza kutusaidia na utuambie ni majasusi wa chama kipi? Naomba usinitajie wauaji wa Imran Kombe wala Steven Ulimboka kwani najua kuwa huwafahamu kabisa.
 
Huyu IGP Mwema kiburi anachopewa na JK kutokana na ushemeji ndiko kunakoliangamiza Taifa hivi sasa.

Nimemuangalia kwenye luninga usiku huu anaongea pumba za kutisha!

Eti anasema yeyote mwenye taarifa kuhusu fununu ya waliotenda matendo ya kuteka na kudhuru mwili yaliyowakuta Dr Ulimboka na hili la majuzi la Kibanda wapeleke Polisi.

Ebo...mnataka atakayepeleka taarifa hizo mumgeuzie kibao kuwa yeye ni gaidi!!

Mbona mmeshindwa kuzifanyia kazi taarifa za mtuhumiwa Rama Ighondu, tena zimetolewa na yeye mwenyewe Dr Ulimboka??!!

Hivi nyinyi Jeshi la Polisi la CCM mmewageza waTZ wote kama misukule yenu, ya kuwatesa mnavyotaka??!!

Lakini hata hivyo your days are numbered, na mwisho wenu utakuwa mbaya, kwa kuwa mambo mabaya mnayowafanyia waTZ wasio na hatia, ni machukizo makubwa sana kwa Mungu, na kutokana na maombi ya waTZ hao wanyonge kwa Mola wetu, tarajieni muda si mrefu Mwenyezi Mungu atashusha hasira zake kuwapa adhabu kubwa kwa kuisambaratisha hiyo himaya yenu dhalimu, iliyowatesa wanyonge wa nchi hii kwa kipindi kirefu sana!!!
 
Maswali
1.Kwanini mwigulu chemba hajakamatwa mpk leo?
2.Kwnn asilete video yake ifananishwe na hii ya rwaka?
3.Kwnn lwakatare asomewe mashtaka kuwa alipanga njama mwaka jana tar.28,cku hzo hzo ambazo chemba aliwaambia watz kupitia star tv?
4.Lazm tujue uhusiano na hz cd mbili,nk
nawasilisha.
 
Wana haraka kama cha kwanza

mshachelewa sana mjomba. tushaingiliana kama wapalastina na mayahudi.
tulieni tuzae na nyinyi tu, mpaka kieleweke. ccm=chama cha mapumbafu[
/QUOTE]


Haya na hayo sio Abuse language au kwa vile hayajatoka CCM ?
tunachozungumzia ni makosa ma 4 likiwemo la kutaka kumwekea Msacky SUMU na kumteka (UGAIDI)
Sasa wakili anatoka mahakamani anawaambia mbona Ulimboka na Kibanda hayo kweli ndio yaliyotuweka pale Kisutu?

Mbona wanafiki.
 
Kweli nimeamini kwenye nchi hii kuna watu wako juu ya sheria, kwa nini Mwigulu asihojiwe nae ili tujue baada ya Lwakatare atarusha video clip ya nani.
 
Hii ya Lwaka imewashika pabaya hata mtokwe povu vipi! Maovu yenu yote this time yataanikwa na watz watayajua enough is enough!
 
Kweli nimeamini kwenye nchi hii kuna watu wako juu ya sheria, kwa nini Mwigulu asihojiwe nae ili tujue baada ya Lwakatare atarusha video clip ya nani.
katika nchi mambo meni yanastaajabisha...mimi siyo mjuzi wa sheria ila nina wasiwasi uwenda nikaambiwa sheria za JKT zinamlida asikamatwe/asihojiwe na polisi juu ya tuhuma zake.
 
"Ni Kheri Dr. Slaa
aingie ikulu, kuliko Tundu Lissu kuingia bungeni" By muishiwa dhaifu
a.k.a fastjet a.k.a bwana maendeleo a.k.a mzee wa ahadi a.k.a muasisi wa
udini a.k.a ni upepo tu utapita a.k.a maisha bora kwa kila mwanamtandao
a.k.a kilazest a.k. a msanii anaye ongoza kwa safari duniani.

a.k.a mpiga picha na watu mashuhuri a.k.a mtoa ahadi lukuki...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom