Mgambo wa jiji ILALA wanaokamata watu kwa kisingizio cha usafi wa jiji,wamekuwa na tabia ya kutisha watu kwa kuwatoza faini ya papo kwa papo elfu 50000 bila maelezo hakuna risiti majina wanaandika Kwenye A4 na mwisho ni kuomba rushwa ya elfu 20000 na 5000 ya bajaji.aibu sana wanaipaka matope...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.