acha uongo mkuu, kweli kuna graduate gani wa BE, CM, LMV, ARCHTECTURE, INTERIOR DESIGN, EE, GM ambae bado anakula ugali wa mama home!makampuni kibao yapo, serikalini nako uhitaji si haba
Ardhi hakuna shule ngumu kama jamaa alivotisha but kuna school kama tatu ni za motoooo hiyo ya BE ani SCEM na SURP(mipango miji) hizi zinaunafuu but kwingine kuna balaa
Hati miliki ya kimila inatolewa kwa ardhi za vijiji na hati miliki kuu hutolewa kwa maeneo ya mijini!!! Na hizi zinasimamiwa na sheria mbili tofauti!hati miliki za kimila zinatolewa na halmashauri za vijiji wakati za general land zinatolewa na kamishna wa ardhi!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.