Recent content by parolko tarantura

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nitajie Kiongozi wa Juu wa Kisiasa Au Tajiri ambaye Kijana wake ni Askari Polisi

    unamkosea Mungu wako..usilaani riziki ya mwenzio maana kapewa na Mungu..tubia dhambi hii ya ulimi wako,.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka: Una Miaka 59 unatukana Serikali saruji imepanda sana, wakati inauzwa Tsh. 4,000 ulikuwa wapi kujenga?

    hata kama inauma huo ndiyo ukweli.jaziba za nini?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya Bodaboda isifutwe? Ni kimbilio la waliofeli, wanajazana mochwari na wazalishaji wa wajane mtaani

    maisha hupangwa na Mungu,,usidharau alicho pangiwa mwenzako,inawezekana hata wewe kwenye familia yako utapata boda.....
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mke wa Ayubu kwenye biblia hakuguswa kabisa na shetani?

    mke wa ayubu alikua tayari ni mateka wa shetani kabla ayubu hajajaribiwa..shetani hutafuta wale walio nje ya himaya yake...ndiyo maana huyo mwanamke alimwabia mmewe MKUFURU MUNGU UFE,,
  5. P

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Ndugu wapendwa mmetukanana vya kutosha....ebu mwogopeni Mungu.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Watumishi wanasema hongera Mama, Jambo lao la July Wameliona. Watakulipa fadhila Oktoba

    Wewe kapige kura mengine utayajua baada ya uchaguzi..
  7. P

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Weka imani kabla ya kutamka maneno hayo,,,maana pasipo imani huwezi kumpendeza Mungu,,ebrania 11;6
  8. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku magari haya kuingizwa nchini

    Mtu chake apendacho Hakina Hira machoni, huridhika kua nacho ingawa Hakina thamani.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa ni Moja tu Mathayo 16:18 Wewe ni Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu. Ile ya Gwajima ni Huduma ya Kiroho siyo Kanisa!

    Kwa rugha nyingine kanisa ni watu walio okolewa kutoka dhambini,,
  10. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiende makanisa ya manabii wa uongo waliotabiri Simba itashinda kombe la CAF akiwemo Mwamposya ,Gwajima nk

    Barikiwa kwa kua na uelewa wa mandiko (biblia)
Back
Top Bottom