Recent content by Paraproffesional

  1. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ukuta na ulinzi Mirerani, Tanzanite italindwa?

    Mirerani bado Tanzanite ipo au ni michanga
  2. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuwatoa/kuwaondoka Mijusi ndani ya nyumba,na wasirudi tena.

    Hawa nawaona mchana na hata usiku
  3. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuwatoa/kuwaondoka Mijusi ndani ya nyumba,na wasirudi tena.

    Siogopi, ila mijusi cyo pambo la nyumba useme ikae ndani
  4. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuwatoa/kuwaondoka Mijusi ndani ya nyumba,na wasirudi tena.

    Habari za humu wana JF, Kama kichwa cha habari kisemavyo, Naomba kujua namna ya kufukuza mijusi ndani yani kuna nyumba nimehamia ina mijusi sana, nimeshalipia miezi sita siwezi kuhama hadi kodi iishe.
  5. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

    Nataka kuidownlod nifanyeje
  6. Paraproffesional

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wanawake wachache sana warembo waliosoma sana, wanawake wengi wasomi sio warembo

    Mtakuwa hamjaniona
  7. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Mie mpolee ila sipendi uchokozi
  8. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Hu hu aisee sawa sawa hide my ID tuende sawa :p :p :p :p
  9. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Mie siyo muoga alafu mie kivumbi sema hii Id mpya nipo kivingine
  10. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Yeah ina makorokocho mengi hu hu
  11. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Asante
  12. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Kuwa na hekima kaka , heshima ni kitu cha bure, mtu usiyemfahamu isimchukulie poa na maneno yako ya kihuni
  13. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Unamanisha nini?
  14. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mie siyo mwalimu ila mdogo wangu yupo bunda mjini shule ya msingi ipo mjini kabisa anataka mtu yeye aende, meru dc, hai dc, babati, moro mc, dodoma mc au rombo kama kuna mtu anataka aje pm nitawaunganisha.
  15. Paraproffesional

    JamiiForums Tanzania New member

    Hellow Jf Mimi ni mgeni humu Naomba kuuliza, Jf huu mtandao upo Tz tu, je mwanzilishi wake ni mtanzania? Huwa najiuliza mara nyingi sijapataga majibu
Back
Top Bottom