Recent content by PARADIGM

  1. PARADIGM

    JamiiForums Tanzania Zelensky anahisi kusalitiwa na Mataifa ya Magharibi

    Hata yeye kawasaliti wananchi wake kwa kuwaingiza kwenye zahama.zisizo na msingi kwa nchi yake.
  2. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    je me naye alikuwa mhaya?
  3. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba wanawake nao hujichua (kupiga punyeto) kama wanaume

    Tupe elimu hapo madame! Hata sikufikira kuwa na wanawake nao wanafanya haya mambo[emoji3]
  4. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Kuna watu hawajielewi wanapenda kuishi kwa watu! Kwani kuna mtu hana kwao kiasi utamani kuishi kwa watu wengine?!!
  5. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Mimi naishi mjini na nimekuwa nilipokea watu kama wewe kwa muda mrefu. Nilichogundua ni hata mtu umfanyie wema upi.bado wanaongea maneno ya jinsi hawakuthaminiwa. Na kibaya zaidi ni kwamba watu wenyewe wanaoishi kwa watu hawana appreciation hata kidogo. Unakuta wao walikuja kwa ajili ya shida...
  6. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Ladies

    hili naona limeanza kuwa jambo la kawaida.
  7. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Ladies

    kwani wadada ndo wako sahihi? inaonekana kama chanzo cha matatizo ya ndoa kinatokana na wanaume! Mbona siku hizi waharibifu wakubwa wa ndoa ni wanawake! Kiasi hata vijana wanaogopa kuooa.
  8. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti anashida gani?

    Akija mle kimashala. Hakuna.kumwambia tufanye mapenzi. Kaa chini ongea naye, shika nywele ukimpigisha stroy na sehemu nyingine nyeti...ukisikia anaanza kuishiwa pumzi ndo.wakati wa kumuomba. Hapo kukataa siyo rahisi. Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  9. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napelekeshwa na makalio makubwa ya wanawake

    Waru hivyo mara nyingi ni wafiraji. Usije kuwa mmojawapo! Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  10. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa jirani amenieleza mapungufu ya mumewe

    ukiona mwanamke anakwambia siri za mumewe basi jua huyo anakutaka Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  11. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama hamtaki Mpenzi wangu

    mama atakuwa na sababu. Huenda naye alishapitiwa na huyo jamaa na hawezi kukwambia. Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  12. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

    uzoefu wangu hawa viumbe hawako static huwa wanabadilika especially akikuambia hivyo na ukakubali na uache kuhangaika naye ila bado unamsalimia vizuri. Na wakati mwingine wanakuwaga na wivu wakikuta umesimama na mwanamke mwingine mnapiga story mnacheka. Kwa ufupi hawa watu hawataki mtu wa...
  13. PARADIGM

    JamiiForums Tanzania Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

    kapaweza vipi Kagera? Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  14. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake nisaidie hii imekaaje?

    hakuna alichoomba nikishindwa kumpatia. Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  15. PARADIGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake nisaidie hii imekaaje?

    ni kweli mkui..sez nilipata ila.ndo hivo kujishau kwingi pamoja na huduma.Hata mi wakati namuacha nilimwambia we ulifanya nikuone mtu hatari. kutoka kukupenda na kuogopa roho uliyonayo si ya kawaida. Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom