Recent content by para panda

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wakali wa chenja /ma dj wanna wa jkt fm tukutane hapa

    "Anabeba bunduki mustini kibuyu cha maji vitani eeeeeh mama"
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wakali wa chenja /ma dj wanna wa jkt fm tukutane hapa

    Kazi ilimshinda mbwa akaona bora ajiunge na upolisi muraaaaa,
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona MP wa jeshi mwenye cheo cha juu

    Ni vyema ukawaulize wahusika.huenda na wewe ni miongoni mwao isipokuwa umekuja kusipo husika kwa watu hao ninachojua,nidhamu,uchapa kazi,muda,elimu na nafasi inapandisha cheo kwenye kila wizara Tanzania
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

    Mfano wa kufa na kufufuliwa ni usingizi na kuamka.hakika namuomba Allah akujalie umfahamu yeye,na uiogope siku ya mwisho.Wewe utakufa lakini neno lako la upotoshaji litaishi.Hakika tumeumbwa ,tutakufa na tutafufuliwa siku ya mwisho.Acha kufanya maasi,walikuwepo wabishi kabla yako na sasa wapo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wazinzi mtanasa tu

    Mjomba ukimwi ni mbaya unatesa.usijifariji.uzinzi sio jambo jema kama wewe mzinzi hakika hautobaki salama piga dry,beach soka utanasa tu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wazinzi mtanasa tu

    Na jomba ukithubutu ndani ya wiki sita hizi utatimiza agano
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wazinzi mtanasa tu

    Unatamani lugha ya kupendeza kwenye hatari
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wazinzi mtanasa tu

    Ndugu zangu ambao mna husudu uzinzi amini nakwambia,utavaa kondomu,utachukua tahadhali zote lakini ukiwa umebobea kufanya ngono lazima utaenda peku tu siku moja na utanasa.kwa hiyo kondom haitokusaidia utanasa tu cha msingi acha zinaa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na wanawake 74, ndoa yangu ikiwa na miaka 5 tu

    Ukimwi hauto kuacha utaruka utanasa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo za john komba zote za uzalendo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha 'Kesi ya Uhaini' kinahitajika

    Niliwahi kukisoma chote kilikuwa hakina cover.na mpaka hivi leo sijakisahau.kilikuwa kikiwahoji maahahidi na watuhumiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuwa single muda mrefu mpaka ukiwaona mbuzi wanado unawaonea wivu???

    Pole Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom