Kinachomuuma huyu jamaa ni kwamba Yanga imefunga Vitalo jumla ya goli kumi katika mechi mbili sawa na wsstani wa goli tano kila mechi. Anataka timu kufungwa goli tano na Yanga iwe hakimilki ya Makolo. Kaumia sana maana Bacuti aliwasifia mno. Ni mtu ambaye hapo alipo anaiombea Yanga mambo mabaya...
Common sense is not very common. Askari akikiongea na askari mwenyewe akataja neno magazine, yule mwenziwe anaweza kudhani kuwa linalitajwa ni chombo cha Kuhifadhi risasi; lakini mwandishi akitaja neno hilo hilo kwa mwandishi mwenziwe, huyo mwenzake anaweza kudhani kuwa kinachizungumziwa ni...
Usiumie bro. Umetenda ulivyopaswa kutenda. Umeshapata thawabu zako kwa Mungu. Yeye litamtokea tukio kubwa zaidi na atakuja tena kwako. Jiandae kuchukua maanuzi magumu ama kumsaidia au la. Na siku hiyo haiko mbali.
Mwaka jana kumbukumbu muhimu ilikuwa Simba 1 Yanga 5. Bila shaka mwaka huu unaanza na kumbukumbu ya kona dhidi ya Singida, penalty ya Kagere na Simba kubadili jina la MlaNDEGE kuwa MlaSIMBA
Wee human (ni vigumu kutambua jinsia yako) umewatukana sana wanawake wa kijita , tena umetukana wote without exception. yaani Mama wooooooote wa kijita wenye watoto watano kila mtoto na baba yake!!! Weka akiba ya maneno maana hata wewe huna uhakika kwa asili mia moja kwamba huyo unayemuita baba...
Yes, myama Tembo ni kibonde mbele ya mnyama Simba. Huko mbugani tembo huliwa na simba hususan watoto wa tembo wanaonewa. Sidhani kama simba wana ubavu wa kumvaa tembo aliyekomaa. Nahisi simba wetu wamepangwa na watoto wa tembo.
Mbona umetutukana sana bro. Una hakika na unalolisema? Una hakika unacho kipimo sahihi pasi na shaka cha kumpima mwenye akili na asiye kuwa na akili. Isije ikawa wewe ndo hauna akili!
Wewe kufumania girl friend tu umechanganyikiwa ukashindwa kuongea na ukahama mji. Akili zikakutuma uende kula wake za watu walioposwa na kutolewa mahari. Je wenye wake wakifumania nao wahame nyumba zao waje kwako na watoto wao? Kwa sasa unajiona mjanja sana ila ipo siku, tena haiko mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.