Recent content by paperwork

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kuendelea kuitafuna CHADEMA

    Mleta Post unajua account ya CCM ina shi ngapi? Huwa wanatangaza? Fedha za CCM wanatoa wapi? Walishawahi Tangaza lini kwamba wanashi ngapi wameweka wapi na wamefanyia nini? Hebu muulize kwanza mwenyekiti wa chama chako
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

    Nawakumbusha wachangiaji kwamba hiki tukio linetokea Kabla ya tarehe ya uchaguzi, tarehe 23/10, nani alikua na interest ya kumuua Lubuva at that time?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Kama hujui guidance ya habari. Ni kwamba Mbwa akimnga'ata Mtu sio habari, ila mtu akimng'ata mbwa ni habari. Sasa we huoni kama ni habari kutotangaza matokeo wakati tayari wameshamaliza kuhesabu na hakuna wanachokifanya? Wewe unataka waende kuvipiga picha vituo ambavyo matokeo yameshatangazwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli kamzidi Lowassa kwa hili

    Unataka kumjibia? Utakua unamharibia record yake ya kutojibu ufisadi anaotuhumiwa nao
  5. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli kamzidi Lowassa kwa hili

    Lowassa anasifiwa kwa kutowajibu wanaomtuhumu kwa ufisadi, lakini mimi naona Magufuli ndo anastahili sifa zaidi. Kwa sababu zifuatazo; 1. Lowassa ana kashfa moja ya ufisadi, ambayo ni Richmond, licha ya kukaa kimya kwa muda mrefu, amesema huo ulikua ni mradi wa Kikwete. 2. Magufuli ana kashfa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mama Lowassa na Anna Mgwhira wakutana Mwanza, waongea kwa masaa mawili

    Umesahau kwamba wote walipanda ndege moja (fast jet) na kurudi wote Dar saa tatu usiku.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

    Mmegundua watu hawawezi kuangalia video mkisema magufuli ashangiliwa? 😜😜😜, hizo ndo dalili za kuchokwa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa ajihakikishia kura Milioni 6 za Dar, Arusha, Mbeya na Kilimanjaro

    Una maanisha na wale waliomzomea Magufuli Ubungo?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lowassa yavuja

    Wandugu, nimepata kipande kikubwa cha hotuba ya Lowassa ya kufungia Kampeni, kuna mambo mapya meengi saana atayaongea, ambayo nina uhakika yatamuongezeau kura nyiiingi saaana zilizokua zimebaki CCM. Kwa ufupi kati ya hayo mambo ni yafuatayo; 1. Kulipa madeni yote ya ndani, kuanzia kwa watu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    Ha ha ha, kukusanyija bila kibali ni kosa? Kukusanyikaje? Wakati unajiandikisha kupiga kura si mkukusanyika? Mliomba wapi kibali? Wakati wa kupiga kura si ntakusanyika? Mtaomba wapi kibali? Nahisi mmekariri
  11. P

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

    Halafu walivo wajinga hawajui kwamba wanamuongezea Lowassa kura za Huruma
  12. P

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda

    Mtatiro yuko busy mbaaaya Jimboni, wewe unataka aje apige kampain jamii forums?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    Acha wamkamate. Lakini Mwamnyange yuko wapi? Ina dhiara ya miezi mingapi huko alikoenda?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Alafu wakatoa picha za Mwaka juzi sijui, si watuoe picha za sasa huko aliko tumuone,
  15. P

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari Vyaruhusiwa Kurusha Matokeo Ya Urais Moja Kwa Moja.

    Baadae walikataza, wala haikuchukua muda saana. Wakawa wanasubiri yakiyotangazwa na tume tu ndo wanatangaza
Back
Top Bottom