Leo nilipatapo kuzungumza na bwana Mmoja ambaye alikuwa msituni na bwana Shah kule Bujumbura akatuhakikishia kuwa bwana Shah ana kadi (passport ) ya Unyaruanda. hii alipewa baada ya vita kuisha kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kutengeneza vifaru vya wahaasi wa RPF na hili mwenyewe habishi huwa...
Anatoa access kwa watu wa Ilala bila shaka.
pia anattend mikusanyiko yote ya wana ilala ya furaha au huzini (ofcoz akiwa free na Ialal).
Ana mitazamo mikubwaaa kuhusu Ilala.
Ana bifu na meya wa Dar.
CUF hawamwezi huyu mkongwe wa siasa na ukizingatia sio jumbe huyu labda atajiuzulu tu.
Katika ngazi ya Parliamentary huyu mkongwe wa siasa kakipa sana popularity chama hiki cha CUF sasa wakitaka kukosa hata kura moja 2015 wamwage huyu mkongwe wa siasa.
SR hivi huyu mhasi wa NRA anaweza kupitia viambatanisho hivi au ndio bingwa wa kuuza sura kwenye vyombo vya habari na kuacha wnanchi wake wanapata taabu kule Mafia kila leo (not to mention majahazi yaliozama within 2 last weeks na hakuenda hata kutoa pole).
SR Hivi unajua huyu Mhasi wa NRA kama...
Kwanza kabisa ningependa kuchukua muda huu kukushukuru ndugu MafiaIsland2015 kwa kuleta habari hii jamvini.
Pili ningependa kukuomba kwa niaba ya wanajamvi wasifu wa huyu mama wa UN
Tatu, kuhusu mbunge wa sasa wa Mafia (by then lorry driver of NRA Burundi ) bwana Shah, elimu yake kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.