Mbaraka Dau vs Omari Kimbau na A Shah kisiwani Mafia

wabongo tusidanganyike na vyeti , ati master phd,bongo ingelikuwa hao wasomi na ndiyo wanaotunedesha hii nchi kama baiskeli ya tairi moja WAMESOMA NA KUELEWA WALICHOSOMA tusingelikuwa na shida zote hizi msomi wa kibongo anataka kuvaa joho tuu wakati wa graduation na kutundika cheti ukutani , tutizame mbunge ana uwezo gani wa kutubadilishia maisha yetu fuata vigezo vya mbunge nitakaemchagua mimi >

AWE NAISHI KWENYE JIMBO LANGU > sio wale wakuja siku za uchaguzi tuu na kutwaa madaraka

AWE KESHALETA MAENDELEO KUTOKANA NA JIHADA ZAKE MWENYEWE KWA MUDA WA MIAKA 10 ILIYOPITA > sio wakuja kutuambia atatufanyia hichi na kile alikuwapo wapi wakati anyajuwa matatizo???

AWE ANAISHI VIZURI YEYE NA FAMILIA YAKE , NA NDUGU ZAKE WOTE AMEWATOWA KWENYE UMASKINI , AMEWAWEZESHA MARAFIKI ZAKE NA MAJIRANI ZAKE > sio yule wakusema nitabadilisha maishayenu huku yeye mwenyewe anaishi maisha ya mende chooni

ELIMU SIO KITU CHA MSINGI KWANGU > yeye kama mtazania ameendelea kiasi gani kimaisha hichi kigezo muhimu kama yeye ameendelea na wajamaaa wake wa karibu amewaendeleza basi hakuna tatizo huyu mtu ataweza kubadilisha jimbo lake

ndugu wananchi wabunge wa bongo wengi nishida tupu anakimbilia siasa kwa kujineemesha mwenyewe na wengine ni kupenda madaraka na ukubwa ,ni wabunge wachache ambao ninawavulia kofia Mh mkono
 
Pumba tupu
 
Hivi Tanzania leo tunaishi 2012 au 2015?

Mbaraka Dau ambaye ni msomi na investment banker ataingia ulingoni kuchuana na combination ya Abdulkarim Shah (bulj na Mbunge wa sasa wa Mafiai) + Omari Kimbau (Mtoto wa Kanali Kimbau na mwenye bar ya Mafian) + (yule mama wa UN) +CCM Machinery + CUF ambao wako very strong kisiwani Mafia)

Nampongeza Mbaraka kwa kuonyesha nia lakini je ataweza fitna za CCM na siasa zao za urithi?

Je atawaweza wana Mafia ambao naturally wanajiona ni CUF kuliko CCM?

No wonder bulji kashaanza ku court publicity!

Tusisahau kuwa mbunge wa sasa wa Mafia ni form 2 leaver

Omari Kimbau haijuilikani elimu yake

Yule mama wa UN ana MA

Mbaraka naye ana MBA

I

Hivi Tanzania leo tunaishi 2012 au 2015?
 
Hivi Tanzania leo tunaishi 2012 au 2015?

Hivi Tanzania leo tunaishi 2012 au 2015?
Unapoapishwa bungeni na siku hiyo hiyo wenzako wanapanga kukungoa

hawa akina Mbaraka naona wamechelewa sana
 
Back
Top Bottom