habarini wadau!! kheri ya mwaka mpya!!!
ninachokisikia ni kuwa waziri wa mambo ya ndani wa donald trump anaitwa john kerry (sina hakika km linaandikwa hivyo). ninachokikumbuka ni kuwa waziri wa mambo ya nje wa obama alikuwa na jina kama hilo....swali langu kwa wajuzi ni je, mtu huyu ni yule...
1. nimeisikitikia UKAWA kwa maana ya vyama vyote vilivyokuwa vinaunda hiyo kitu.....kufa ukawa ni kufa kwa vyama shiriki.
2. nimeisikitikia chadema kwa maana ndiye baba (kinara) katika huo ukawa....kulegalega ukawa ni kulegalega kwa chadema. laikini pia sikuishia hapo tu, niliangalia sura pana...
kuna thread zinazotupiwa humu zikilaumu kusahaulika kwa haraka kwa suala la tundu lissu....si mbaya, lakini kwa mtazamo wangu, hii inaanzia kwa wenyewe hukohuko au niseme kuwa hata wao wenyewe wanalifanyia dhihaka tu jambo hili....nitatoa mfano mmoja, ukikutosha sawa na usipokutosha utatafuta...
ukiona anayekukimbiza anaanza kumwaga matusi, basi we ongeza mbio tu kwani tayari ameshaanza kushindwa huyo na muda si mrefu atakaa chini au kugeuza alikotoka........mdee ni mkimbizaji anaeanza kutoa matusi!
kiasi fulani nawahurumia cdm kwakweli, chama hakistahili kufa kizembe namna hii......nikikumbuka mbwembwe zile za miaka ya 2011, kifo hiki kinanishangaza sana!! namwangalia mwenyekiti anayeongea hapa....hakika anahuzunisha, anaonyesha wazi kuwa ye mwenyewe wala haamini na wala hajui...
tatizo nilionalo hapo, unajua wema ni mtu fulani wa urembourembo....kupendeza, kung'aa na kutokelezea ni vitu ambavyo anavitilia maanani sana na ni sehemu ya maisha yake.
vitu hivyo vyote, ukiiangalia kwa makini cdm, vitu hivyo ni kama vinakosekana........mbowe akikuangalia unaweza kudhani...
juzi kati hapa kulipita mambo mawili (2); moja ilikuwa ni ALBADIR ambayo, nasikia, ilikuwa ni ya nchi nzima (kusomwa). pili ilikuwa ni kuvunjwa kwa chungu huko upareni (kilimanjaro). matukio yote haya yaliasisiwa na chama fulani ili yaende kuathiri (kudhuru) chama kingine fulani hivi ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.