Recent content by papag

  1. papag

    JamiiForums Tanzania Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

    nunua cha kukaa ILA UWE na kigoda cha kuweka miguu ili tumbo likae kwenye position nzuri ya kushusha mzigo. ukikaa kawaida km kwenye kiti mzigo hautoki wote. ukitaka uhakiki kama choo cha wageni ni cha kuchuchumaa jaribu huko na siku nyingine jaribu cha kwako cha kukaa utaona tofauti
  2. papag

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

    Piga chini wewe
  3. papag

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

    Sasa nguvu mbili za giza zingeweza kweli kukaa kwenye madhabahu moja?
  4. papag

    JamiiForums Tanzania Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    huyo susa ni pandikizi la chichiemu na ndio maana huwa likikosa uongozi huwa linahaha sana kurudi kwenye uongozi. na cha ajabu kipo kwa walutheri maana huyu jamaa na mwenzie askofu shoo washavuka 60 yrs. wanatakiwa kustaafu kwa lazima. kanisa wapewe vichwa vipya kama kina dr Bagonza
  5. papag

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wengi ni kuwadhalilisha wanawake

    Ulienda JANDO?
  6. papag

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Nilisoma PhD OUT, nilikumbana na changamoto hizi...

    Ndiko alikosoma BALILE? Ndio maaanaaa!
  7. papag

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Ukishakula nyama ya mtu?......Mwl Nyerere
  8. papag

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Hali ndio hiyo
  9. papag

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Wako na mwamposa anatosha
  10. papag

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi?.......Mwanakwetu

    Watakuwa washa itoa
  11. papag

    JamiiForums Tanzania Kwa Maasai, Punda haliwi Wala sio mfugo wa Uchumi , Punda hamtii hasara Mmasai, Nyinyi kama MMEUA Simba ili kuwafurusha Maasai semeni tu

    Umepigaje hapo? Wamebugi sana Wakulungwa. Ingekuwa ng'ombe kweli. Tafuteni mbinu nyingine menn!!!
  12. papag

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi?.......Mwanakwetu

    KIVULI CHA FIMBO HAKIMFICHI MTU II Adeladius Makwega – MBAGALA Kumbuka siku ile Mwanakwetu alipita mbele ya ile nyumba nyeupe ya CCM, pale Dodoma. Alipita taratibu. Macho yake yakatua kwenye jengo lile. Nyumba nyeupe. Jengo lenye historia kubwa katika siasa za Tanzania. Mwanakwetu akakumbuka...
  13. papag

    JamiiForums Tanzania Battery ya Samsung s22

    Nashukuru sana mkuu
  14. papag

    JamiiForums Tanzania Battery ya Samsung s22

    Niko Dar kwa sasa
Back
Top Bottom