Recent content by papa yna

  1. P

    JamiiForums Tanzania Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    ukiwaambia twende tukalime hawataki yaan wavivu wa mwili hadi akili. Hata waliko makazini hawana vision wanakimbilia kukopa benk ili wafanye gono zaid badala ya kununua kiwanja au mashamba. Nisingekuwa mzalendo kama mwl. JK. NYERERE ningelikuwa nimeshahama nchi na kwenda zangu kwa Obama
  2. P

  3. P

  4. P

    JamiiForums Tanzania Unadhani Le mutuz alichangia nini?

    hajachangia kitu zaid sifa tu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Milango 7 ya mbao na dirisha 12

    Anayejua bei ya mlango wa mbao na dirisha 6*5 anifahamishe bei au tufanye biashara
  6. P

    JamiiForums Tanzania milango saba ya mbao

    kwa upande wa morogoro naomba munijuze bei ya mlango wa mbao nataka kumalizia kajumba kangu wajameni
  7. P

    JamiiForums Tanzania Makadirio mbao kupaua nyumba vyumba 5 na sebule?

    Wanajf tuendelee kufahamishana na kuelimishana juu ya kupaua na finishing ya nyumba! Na amin jf ni sehemu nzuri ya kujifunza. Karibun sana wadau wa ujenzi na mafundi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Makadirio mbao kupaua nyumba vyumba 5 na sebule?

    juma wazir utanipaulia kwa bei gani mkuu?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Njia gani salama??

    wakafungua!! dah!!! uwiii!!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Makadirio mbao kupaua nyumba vyumba 5 na sebule?

    Jodoki Kalimilo na Mapolomoko tunahitaji ujuzi wenu juu ya bati gauge 32 zinaweza kuwa imara?? Na ktk utalaam wa kupaua kunauwezekano wa kupaua vizuri ile kuyafanya kuwa imara zaidi?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Makadirio mbao kupaua nyumba vyumba 5 na sebule?

    gauge 32 mkuu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya ualimu kukosa heshima Tanzania.

    walimu ni kila kitu lowasa alisema akiwa rais walimu kwanza
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu gharama za kumsafirisha mtuhumiwa

    hupaswi kutoa pesa ndugu jamhur itamsafirisha kwa escot ya askali
  14. P

    JamiiForums Tanzania Check no. imetoka tarehe 07/08/2014

    Check=American Eng. Cheque=Britain Eng. Zote zinakubarika na std english but we prefer zaid BrEng
  15. P

    JamiiForums Tanzania Check no. imetoka tarehe 07/08/2014

    Check=American Eng. Cheque=Britain Eng. Zote zinakubarika na std english but we prefer zaid Be
Back
Top Bottom