Recent content by PANZI DUME

  1. PANZI DUME

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake huchochea chuki baina ya mtoto na baba yake mzazi

  2. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Nipe mawasiliano yako nikuunganishe na Dogo Amesomea IT na anajua vizuri mambo ya forex na cryptocurrency anaishi hapohapo Segerea mwisho
  3. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

    Asilimia kubwa ya mawakala wa upinzani walizuiwa kuingia kwenye vituo
  4. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji

    Duniani Luna watu na viatu. Mungu ablaze roho ya marehemu maharaj panapostahili.
  5. PANZI DUME

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

    Hee!!..kumbe ni ufala ubwela
  6. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Sugu akutana na Mzee Joseph Butiku, atoa ofa kwa Taasisi ya Mwl Nyerere

    Ukimiliki Milioni 1+ wewe ni milionea na ukimiliki Bilioni 1+ wewe Tayari ni Bilionea, ni hivyo tu,usiumize kichwa Saana.
  7. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Jibu la Paul Makonda kwa mwandishi dhidi ya shambulio la Tundu Lissu lina maana gani?

    Ulitaka akamuulize ni Tundu Lissu wakati amesha sema Makonda amehusika. Alichofanya Mwandishi ni sahihi kabisa kwenye Tasnia ya habari,Alitaka ku balance habari kabla ya kuitoa hazarani.
  8. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    Wewe ndiyo tunakushangaa wakati sisi wenye nchi tumeshakubari walipwe. Walipwe tu, hamna namna. Walipwe hata na michepuko yao.
  9. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    Naingia mkono hoja, kwa kuongeza, na michepuko yao iingizwe kwenye payroll.ilipwe kwa kazi nzuri ya kuwaliwaza wakuu wetu.
  10. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

    Naomba niambiwe tofauti ya maafikiano na Mkataba 
  11. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa wa "kutetemeka" kuishiwa nguvu mabinti wa shule

    Kwa kuongeza,hali hiyo hutokea hata kwa wanaume inapotokea wanatembea pamoja njiani then mmoja wao aka shikwa na haja mdogo akaenda kujisaidia, na wengine nao watashikwa na haja na kwenda kunisaidia.
Back
Top Bottom