Hoja yangu ni kwamba, ili uwale mzalendo lazima uwe mtu uliyepandikiziwa imani fulani kuhusu nchi yako. Na mara nyingi watu wengi ambao wako smart huwa hawakubali kupandikiziwa tu imani fulani, wao sio watu wa kuamini tu bali ni watu wanaipenda logic Ili kukubaliana na jambo.
Hata hivyo...
Mtu mwenye akili nzuri hawezi kuwa mzalendo.
Wale wanaoshikwa akili ndio wanauwezekano mkubwa wa kuwa wazalendo. Wenye akili iliyotulia hadi wakipende kitu lazima wawe na maslahi nacho wala si kushawishiwa na wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.