Recent content by pangu pakav

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tukio kuuuubwa la burudani linakuja, Wasafi beach party, hii si ya kukosa.

    Raymond ,rich mavoko na Mondi wanajua kuimba live?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

    Lije tu simba noma
  3. P

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

    Timu mafuvu mezani lazma uwe na roho mbaya utakaaje na kifuvu kama so...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

    Angekuwa wa Kiba waEast Africa kama unavyosrma asingepga show Afrima 2016,kwani ulimuona Vanessa akipafomu Afrima japo unasema cjui anajulkana Nigeria,ukiwa mkweli unakuwa huru kuliko unafiki.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

    Mtoa post anakubaki afu anakataa,unasema wanawakilsha wote kimataifa halafu unarudi kinafiki sijui imeenda imerudi ,ukiona mtu anazngumziwa hivo ujue huyo ana nafas ,mbona hukumtaj Shetta umemtaj Kiba,
  6. P

    JamiiForums Tanzania MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Idara ya maji Arusha ndo Aeusa.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  7. P

    JamiiForums Tanzania MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Kulala kwake hakumpi tuzo muambien aongeze bdii shoo ilkuwa haina kiwango ,majungu hayo ndo mana tunafeli,kulala hotelin au kulala kwako kunahusian vip na kukosa tuzo .
  8. P

    JamiiForums Tanzania MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    #HASHTAG (Diana new)Tekno haikuwa saiz ya Rayvanny
  9. P

    JamiiForums Tanzania MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Kulala ndo kungempa tuzo achen mawazo mufilisi.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vote for Ally Kiba MTV Awards

    Ngoja tu vote huyu ni mtanzania mwenzetu,hakuna u team hapa.Ova
  11. P

    JamiiForums Tanzania CCM ianze kuzoea kuwa chama cha upinzani mapema

    Huo ni ukwel mtupu mbish ale malimao.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza kuandikisha, mashine za BVR zinaenda wapi?

    poa kaka
  13. P

    JamiiForums Tanzania ITV Mnatutengenezea maigizo ya Lowasa

    Uwe unaangalia TBC1 hiyo ndo inakufaa.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

    lowassaa anawapasua mpak mnaota mkiwa macho
Back
Top Bottom