Recent content by pangboy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Sikufichi hakika umepotea muombe sana Mungu. Umenyang'anywa ulichonacho na Ibilisi. Usipotoshe walioitwa kwani imeandikwa shika sana ulichonacho asije movu akakichukua. Tumefikia utilimilifu wa dahari. Muda umebaki mfupi sana mpango wa rehema utafungwa. Jihadhari sana usiwe umetenda dhambi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Wazi la busara Pima DNA kwa mtoto huyu wa pili halafu achana nae. Nipo Tabora wanawake wa kinyamwezi wana tabia ya kutokuwa na Mume mmoja. Sio waaminifu na sio wa kuweka ndani
  3. P

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Pasaka kutoka kwa mhandisi ujenzi mzalendo

    Kazi ya sasa huwezi wewe endelea na Structural Engineer yako. Umeandika ushuzi wa ajabu hapa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Pasaka kutoka kwa mhandisi ujenzi mzalendo

    Hakuna awezae kutoa Waraka wa Pasaka zaidi ya Taasisi za dini. Inadhihirisha wazi hujitambui.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Urais wa John Magufuli ni mpango wa shetani kuvuruga taifa hili?!

    Umenena vyema hata South Africa ulikuwa na maaendeleo makubwa lakini usiginaji wa haki za kibinadamu ulipelekea mapambano ya kugonga ubaguzi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uchumi mzuri ni pamoja na kuwa hela ngumu kuipata; kizuri hakipatikani hovyo hovyo

    Wakulima wa mbaazi wamefanya kazi kwa bidii matokeo yake bei imeshuka kutoka 2,000 kwa Kilo 205hadi 199 means huu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wahalifu wa kimtandao waibua taharuki Chuo Kikuu Huria

    Hujaeleweka kabisa andika upya
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Siombei mtu anayetaka mke wake arudi nyumbani. Nyama ni ile ile tofauti bucha tu

    Huyu ni kati ya Manabii na Makristo wa Uongo ambao Yesu alitutahadharisha kuwa watatokea na akasema watawadanganya hata yumkini waliowateule. Haiwezekani Mchungaji akaws anahubiri upako na utajiri na moyo wa kutoa throughout. Bila kuwahimiza watu kuungama na kutubu kwa ajili ya Ufalme wa Mungu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

    Na ndilo dhehebu pekee litakalotawala dunia chini ya alama 666 likishirikiana na Marekani soma unabii wa Yohana.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe ampongeza Rais Magufuli kwa kuitenganisha Wizara ya Nishati na Madini

    Wamesha anza kunyooka
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nani amfafanulie mfalme wetu huyu maandishi? Wachawi wameshindwa!!!

    Mungu akubariki kwa neno hili lenye fundisho Kuu. Ni kweli kuwa kuna kumsahau Bwana Mara tupatapo madaraka. Lakini Bwana huyu huyu aliyekuinua anaweza kukushusha na kuugawa Ufalme wako. Tunahitaji tafakuri ya kina. Hususan wakati huu tulionao.
  12. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kwa hili mnawaponza Sympathizers

    Hujaeleweka
  13. P

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji, siasa za Tanzania, utawala na utajiri wa Quality Group

    Nimechanganyikiwa sielewi kinachoendelea Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom