Recent content by Pangapanga Msisili

  1. Pangapanga Msisili

    China kutoa uamuzi wa kufadhili ujenzi wa SGR baada ya tathmini kukamilika hivi karibuni

    UCHUMI: Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya China inakamilisha taratibu za ndani za kutoa fedha kwaajili ya ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) unaoendelea kwa kipande cha 5 Dkt. Mwigulu amesema hayo baada ya kukutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian ambapo...
  2. Pangapanga Msisili

    China kutoa uamuzi wa kufadhili ujenzi wa SGR baada ya tathmini kukamilika hivi karibuni

    Halafu hawa viongozi wetu mbona wanatupiga swaga kuwa kipande cha SGR kutoka Dar es Salaam hadi Makutupora kimekamilika kwa urefu wa Km. 722 badala ya Km. 535? Hizi Km. 187 zilizoongezwa zimejengwa angani? Kwanza kwa nini hawa viongozi wetu wasiseme ukweli kuwa kipande hicho kina urefu halisi...
  3. Pangapanga Msisili

    Afrika Kusini: Afungwa Miaka 15 kwa kufake CV na kujipatia zaidi ya Tsh. Milioni 425 kwa Mwaka

    Hakustahili kufungwa kwa kuwa alikuwa akijitafutia riziki na alikuwa ni mzalendo wa SA halisi sisi waafrika akija mzungu akaghushi nyaraka anaaminika kwa kuwa ni mzungu lakini sisi weusi wenyewe kwa wenyewe tunakulana, ila kama alighushi nyaraka zake na akwa analifilisi shirika kwa manufaa...
  4. Pangapanga Msisili

    TRC boresheni haya, nimepanda treni yenu ni nzuri ila tunahitaji maboresho zaidi

    Kuwa na kitu karibu na mji wa Serikali Mtumba au Ihumwa kwa kuwa na train ya expres, huo ni mpango maalumu ambao unahitaji fedha baada ya mradi mzima kukamilika na ni mpango maalumu unaojitegemea (Ni project), lakini siyo kwa sababu ya watu watokao Dar es salaam kuja kituoni, kwa maana ya...
  5. Pangapanga Msisili

    Tatizo la milango kupasuka

    Huo siyo Mkongo istoshe hao mafundi walitumia mbao mbichi
  6. Pangapanga Msisili

    CAG anapaswa kujiuzulu kwa kukiuka utaratibu

    Kama hajajibiwa na wanaotakiwa kujibu hawajajibu huku watu tayari wanazo taarifa za CAG kitu gani kifanyike? Kitu kinachotakiwa kufanyika ni kwamba kwa kuwa muda wa mtoa taarifa wa kisheria umefika wakati wake inatakiwa swala hili lijadiliwe na si kusubiri au mtu kujiuzuru tu kwa sababu wahusika...
  7. Pangapanga Msisili

    Germany's colonial past catches up with it

    It is not too late to claim that, because our current leaders, especially the German-dominated countries in our continent of Africa, are not aware of this, and if they do, then when the time comes for them to seize power, they will only spend money. For the self-aware they tend to forget about...
  8. Pangapanga Msisili

    Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Wapigaji hawataisha daima baba mfalme cha msingi ni kupambana zaidi kunusuru rasilimali za taifa na kwa wananchi kwa ujumla
Back
Top Bottom