Recent content by Pancho panchilo

  1. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

    Hii strategy ni motoo... Yaan hata kama unadaiwa.. Unamwambia n wako nipe dk 5 tuu....! Basi unaenda mt4 unampakualia jamaa deni lake unasepa
  2. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Jamani forex ni kamalii endeeleeni tu kubeti kwa muhindi na tatu mzukaa mtatoka tuu mdugu zanguni
  3. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Utapeli hatari waibuka kupitia mitandao ya simu

    Sasa huyo tapeli anajuaje kua wewe unadaiwa pesa hadi adiriki kusema nitumie kwenye namba hii? Baado sjaelewa hapo inakuaje kuaje
  4. Pancho panchilo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vigezo gani vinakufanya umtambue rafiki wa kweli?

    Katka comment zote nimesoma, sijaona hata comment moja iluo jibu swali lililoulizwa. [emoji144] [emoji144] [emoji144]
  5. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la wachawi kufanyika mwaka huu Tanzania

    Pwani ya kaskazini mdio ipi hiyo Bagamoyo au? Mnieleweshe kidogo newbie mm[emoji85] [emoji85] [emoji85]
  6. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

    Mkuu hizi taarifa ni zakweli? Mm nakaa hapa kinondo ni mtaa wa togo, jirani na kwao na wala hamda dalili yoyote ya msiba.
  7. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania How your home screen looklike

  8. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania How your home screen looklike

    Naiona mt4 imetulia hapo
  9. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    WWooooooooowaaaaaaaaaaaaaaaaa! [emoji91] [emoji91] [emoji91]
  10. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hapo kuna trendline pamoja na supply and demand zones.
  11. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa wale newbie wanaopatashida ya kujua entry point. Unaweza kumfollow INSTA Pancho-panchilo kwa ajili yakupata tradong analysis na entry point. Earn while learning. [emoji217] [emoji217] [emoji95]
  12. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nataka kujiunga FOREX

    Mkuu umeshasoma viyabu? Tuanzie hapo kwanza..... Anyway kifaa chako cha communication... Smart phone, pc n.k Bank acc au hata mpesa inakuwezesha pia.
  13. Pancho panchilo

    JamiiForums Tanzania Majina ya vitabu vinavyowabadilisha watu maisha yao kifedha ni hivi hapa, 2018 inakusubiri kwa mafanikio

    Naked, Astro, bibble ila yhe best ni price action
Back
Top Bottom