king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,151
labda huo mtaji nunua coaster nyingine anzisha ruti
aah wapi huyu dogo ni muuza sembe maarufu sana kinondoni, hata hivo vicoaster vyake ni pesa za sembe. hiyo hiriki sijui nini kwa nyie msiomjua. abishe
mmmmmhhh kumbeeKaa mbali na huu ulevibaada ya kutafakari kwa muda nimeamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiunga forex
wakuu ni vitu gani napaswa kuandaa na kulipia hadi niwe mwanachama
Pia je itamfaa mtu anaesafiri mara kwa mara?
Watafute TmT the matapeli team
Wakueke vizur ubongo huo naona umejaa mavi.
Lowasa: elimu elimu elimu elimu.




Acha visa wwontario kichwa hiki kinakutafuta
ila huyu mteja simuamini muamini nahisi anatatafuta sababu aanzishe ugomvi mzito





