Mobutu alifanya vivo hivyo wakamtumia sana na walipoona hawamuhitaji tena waka mdump.
Angola walifanikiwa Marekani ikawasaidia kum eliminate Savimbi in return for Diamonds.
Hapana nakumbuka kipindi cha siasa za ujamaa na kujitegemea, liliibukuka kundi fulani sikumbuki vizuri kama ni mashahidi wa Yehova, ambapo wahumini hawakutakiwa kufanya kazi yoyote zaidi ya kuomba tu.
Walinikuu mistari ya Biblia kuwa ndege wa angani hawalimi,hawavuni wala hawapandi lakini...
Nishukuru maafisa kwenye ubalozi wetu ...nchini Kenya.
Kijana wangu alikwapuliwa passport na wakora akaenda kwenye ubalozi wetu Nairobi akapewa ushirikiano wakutosha.
Pongezi kwa maafisa wa ubalozi wetu nchini Kenya.
Kanisa Katoliki lina uwakilishi kamili wa kiselikari kwa kwa maana ya ubalozi wa Vatcan nchini.
Nitajie dhehebu jinginelo lenye hadhi ya ubalozi hapa nchini, think big brother
Who the hell is TEC?
Paschal please give TEC the respect they deserve.
Kanisa Katoliki ni taasisi pekee ya dini yenye uwakilishi na hadhi ya ubalozi kamili hapa nchini.
Where do you get moral strenght to question TEC's statement in a very disrespectful manner ?
Wazungu walau waliweza kupiga marufuku biashara ya utumwa, sasa hao waarabu wako si ndio waliwafunga minyololo na kuwaswaga babu zetu na kuwauza bila huruma.
Ikumbukwe watumwa waliopelekwa uarabuni kizazi chao kiliisha kwa kuwahasi wanaume mpaka leo hakuna black arabs.
Waliopelekwa Marekani...
Inaqezekana unasema ni kweli ila kumbuka makuadi wa ubinafsishaji wana mkono mrefu na mikakati hatarishi, wana uwezo wa ku inflitilate mfumo wa bandari na kuudhoofisha kimkakati ili kuhalarisha malengo yao ya kinyonyaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.