Recent content by PanadolX

  1. P

    JamiiForums Tanzania Fact that will blow your mind!

    Jf ni sehemu sio tu ya burudani pia kuelimishana pia... Hapo kinachofanyika, jamaa anamchukua malkia wa nyuki na kumhifadhi sehemu yoyote katika mwili wake na nyuki wakisikia harufu ya mlkia ndo HVO wanatanda ktk mwili wote wa MTU.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa msanii wa kwanza wa Bongo fleva?

    point yako ni nzuri ila swali ni muziki wa bongo fleva ni upi?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa msanii wa kwanza wa Bongo fleva?

    point yako ni nzuri ila swali ni muziki wa bongo fleva ni upi?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya msanii Diamond

    kwani mkuu una utajiri gani? Hata kama kwenu ni sana, utajiri ni wa baba ako au shemejio.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Amakweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi

    kwahyo mkuu kabla ya ukawa huko nyuma umeharibiwa na ccm?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wacheche sana dunia hii.

    mkuu sijakuelewa vizuri una maanisha mwanaume mwenzio ni mzuri au kitu gani? Nauliza tu....
  7. P

    JamiiForums Tanzania All about ALPHA BLONDY

    mkuu kama unaweza tuletea wasifu wa dogo anaitwa man snepa nitashukuru sana
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kutokwa jasho usiku

    Mkuu unakunywa pombe? Kama ndio ni kiasi gani?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Vipi yai la ali kiba ni visa ama niaje?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Diamond kanukisha London, Historia imeachwa London

    Huyu mchamaa ni mnoma pwana...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hapo anayefaidi ni nani?

    FaizaFoxy ww pia umeliona hili mkuu?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hapo anayefaidi ni nani?

    mawazo ya kishoga hayo mwanaume rijali huwezi kufikiria nani anafaudu kwa kuangalia picha hiyo
  13. P

    JamiiForums Tanzania It's mayweather jr 48-0

    hao washazoea kuangalia ngumi za kina maneno osward(mtambo wa gongo) wakina tomas mashari ndo maana ni vigumu kwao kuelewa hali halisi
  14. P

    JamiiForums Tanzania It's mayweather jr 48-0

    hao washazoea kuangalia ngumi za kina maneno osward(mtambo wa gongo) wakina tomas mashari ndo maana ni vigumu kwao kuelewa hali halisi
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mdada aliyetia fora katika Zari All White Party

    daah oya si useme tu ulikuwa juu ya mawe, hayo ya sijui kijana makini sijui nini yanatoka wapi, huo mzuka haukuwa wa watu wenye hela za mawazo. VUNJA MIFUPA WAKATI MENO IKO. Dizaini yako ndo full kusumbua vijana uzeeni mkizinyaka.
Back
Top Bottom