Habari wakuu
Naona mamlaka inayohusika na ujenzi wa barabara hii hauko macho
Tangu kandarasi apewe tenda hii kila siku ni kuchimba visivyoeleweka yapata miaka 2 sasa inaisha
Kama fedha za ujenzi hakuna ni bora ingeachwa kama ilivyokua mwanzo kuliko kero hii kuu mnayotupa
Yule Makonda...
Katika ibada iliyofanyika leo ya siku ya mitende makao makuu ya kanisa la Full gospel bibla fellowship,utukufu wa Bwana umeonekana kwa namna ya ajabu sana
Katika ibada hiyo amewataka watu wote wa madhehebu yote kwenda kusikiliza maneno ya Mungu kwa kuwa ndicho kipindi ambacho Mungu husema na...
Wanajukwaa saalaam sana
Niende kwenye hoja yangu,
Tangu tarehe 22 nasikia mishahara na yale madeni vimetoka kwa baadhi ya watu
Naona katika akaunti yangu mambo ni tofauti kabisa kwamba sioni mshahara wala madeni yangu
Naomba kuuliza kama ni kweli mishahara na madeni yametoka au ni akaunti yangu...
Habari wadau
Niende moja kwa moja kwenye mada
Hii halmashauri watendaji wake ni wabovu sana katika ofisi ya mkurugenzi
Nilichokiona pale ni kujuana,undugu na rushwa vimetamalaki
Binafsi nimekua na suala linalohitaji kushughulikiwa ndani ya muda mfupi sasa imekua ni kupigwa tarehe kila siku kwa...
Wandugu kuna huyu mtangazaji mahiri wa ITV bwana Alfred Masako sijui kwa sasa yuko wapi
Kama kuna mwenye taarifa zako tujaribu kushare kidogo
Namkumbuka sana katika kipindi cha matukio ya wiki alivyokuwa mahiri na pia katika radio one stereo alikuwa katika kipindi cha mambo mseto kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.