Kuhusu mshahara wa February 2018

Kuhusu mshahara wa February 2018

PamiKa

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
17
Reaction score
21
Wanajukwaa saalaam sana

Niende kwenye hoja yangu,
Tangu tarehe 22 nasikia mishahara na yale madeni vimetoka kwa baadhi ya watu
Naona katika akaunti yangu mambo ni tofauti kabisa kwamba sioni mshahara wala madeni yangu
Naomba kuuliza kama ni kweli mishahara na madeni yametoka au ni akaunti yangu tuu ina shida
Asanteni sana wandugu
 
Uliza mwajiri wako atakupa majibu
Humu zidhan kama kuna wahusika
 
Baadhi ya halmashauri bado kumbe ILA nadhani kesho lazima utausoma.Njia rahisi uliza AFISA UTUMISHI wako ndg.
 
Fanya Subra Kiongozi.

Subira huvuta Kheri
 
Back
Top Bottom