Yuko wapi mtangazaji maarufu RAINFRID MASAKO yule wa ITV

Wandugu kuna huyu mtangazaji mahiri wa ITV bwana Alfred Masako sijui kwa sasa yuko wapi

Kama kuna mwenye taarifa zako tujaribu kushare kidogo

Namkumbuka sana katika kipindi cha matukio ya wiki alivyokuwa mahiri na pia katika radio one stereo alikuwa katika kipindi cha mambo mseto kila Jumapili

Mwenye taarifa zake tushare
 
Nilishawai kumuona mtu kama yeye week kama tatu zimepita pale maeneo ya mbagala rangi 3 kavaa kama yeboyebo zile kubwa halafu kama ametoka kusaga mashineni kimwonekano kwa jinsi alivokua amechafuka....

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hahahah Masako aliamua kupumzika baada ya kufanya kazi IPP kwa miaka 21! Masako yuko kama consultant mahali...ni mjasirianali lakini hawezi kuchoka kivile...ana escudo yake
 
Nilishawai kumuona mtu kama yeye week kama tatu zimepita pale maeneo ya mbagala rangi 3 kavaa kama yeboyebo zile kubwa halafu kama ametoka kusaga mashineni kimwonekano kwa jinsi alivokua amechafuka....

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nishawahi kumuona mbagala anasubiri daladala wakati bado yupo ITV.

Eagle wing college inatoa course zifuatazoo ,Hotel menejimente.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom