Recent content by Palyang'ei

  1. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha kwa wakristo na alawite wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Assad huko Syria

    Hii dunia ina laana sana.
  2. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania M23 yawatangaza Gavana na manaibu Gavana wa Kivu kusini

    Hapo Nangaa na Bisimwa kazi ipo.Vinginevyo waaminiane sana
  3. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

    Duu! alishanaswa mtego.Zelensky alidanganywa akadanganyika, anatakiwa akasurrender tu kwa Russia hakuna namna.
  4. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 Wauteka Mji Muhimu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Rwanda ya ya kawaida sana, sema Kongo haina jeshi imara tu.Mbona kipindi kile 2013 M23 walinyooshwa na JW, wapewe Mandate ya kushambulia chap M23 watarudi nyuma.
  5. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Watu wasiri nyie kumbe Wanyarandwa wapo humu?

    Na mimi naunga mkono watumie kiingereza au kiswahili, vinginevyo fursa nyingi watazikosa.
  6. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

    Mtoa post nakukumbusha Rwanda hakuna Demokrasia kama nchi zingine, jiulize mwisho wa kagame utakuwaje? Angeweka msingi wa demokrasia hapo ningekubali lakini mwisho wake hautakuwa mzuri kwa maadui alionao.
  7. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

    Ayajengaje uchumi huku ana hofu na Red Tabara.Halafu Kagame hapendi Burundi ikue kiuchumi ila naye mwisho wake utafika tu.
  8. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Msisahau huyo daktari kasota miaka sita kusoma, wakati mwalimu ni miaka miwili au mitatu.Hivyo kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake.Pia walio nje ya mfumo wa ajira wanataka hata hicho kidogo.
  9. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Mkuu fuatilia ngazi kwa ngazi mtapata ufumbuzi wa kudumu
  10. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Hivi hamna raia mwema wa kuelezea hapa mbinu za mfumo wa tausi?
  11. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kupata Control Number mpya kulipia leseni ya Biashara baada ya Control Number ya awali kuisha muda wa Matumizi?

    Huu mfumo wa tausi hamna kitu warudishe mfumo wa zamani tu, waliuleta bila kujipanga.
  12. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Elimu sijaona Serikali ilichokusudia kubadilisha

    Ni kweli tuache kuwatukuza wazungu
  13. Palyang'ei

    JamiiForums Tanzania Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

    Malema hana maana nafikiri anapalilia kura.
Back
Top Bottom