Recent content by palahingwe

 1. palahingwe

  Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

  mh! unatuficha tuu! ushakuwa mwnga ndugu..
 2. palahingwe

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani

  hv kuna viongozi wenye kauli mbaya kama ccmnopq' mkuu..
 3. palahingwe

  Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

  Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini? Kwenye chupa za maji...
 4. palahingwe

  Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

  mh! iwe slow halfu chiu ya manzi iwe haibani, au unaelea itakuwje..:rolleyes::p
 5. palahingwe

  Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

  fanya kitu fanya kitu moyo unapenda huwez jua! maana sidhan kma wote ulimwengun tutaoa au kuolew..
 6. palahingwe

  Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

  Habari ndugu zangu Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
 7. palahingwe

  Wazo Langu kuhusu Kanuni mpya ya mafao ya kustaafu kwa wätumishi

  :D:D:D:D:D:D:D:p:p:p:p:p :) :D:):D:D
 8. palahingwe

  Wazo langu! Ingependeza kama zoezi la Sensa lingeambatana na upimwaji wa Virusi vya Corona

  Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
 9. palahingwe

  Naombeni kujua kwa nini binadamu haoni gizani?

  Choggagrandson, Shukran wapendwa
 10. palahingwe

  Naombeni kujua kwa nini binadamu haoni gizani?

  kuna mtu kanambia kuna uhusiano kati ya mwang wa jua na kuona! ni ya kweli boss.
 11. palahingwe

  King Kiba anaendelea kupiga pesa kwenye kustream

  na ww unapiga pesa wapi boss..!
Top Bottom