Recent content by pakaywatek

  1. pakaywatek

    Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Huyu mama kwisha habari yake.
  2. pakaywatek

    GE2025 ACT Wazalendo Tawi la Mafifi Lamfuta Uanachama Monalisa Joseph Ndala

    Hii barua ipo mbele ya wakati 28/10/2025
  3. pakaywatek

    Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

    Hizo ngonjera zote tuachane nazo hebu fafanua hapa.
  4. pakaywatek

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bingwa kakunja jumla ya $125 milioni
  5. pakaywatek

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea fainali!!!!
  6. pakaywatek

    GE2025 Afisa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

    Mtu mwenyewe ana akili za kimalaya kila wakati kuwaza atapinduliwa Kwa mume wake mnafikiri atafanya Nini!!
  7. pakaywatek

    Yanga yapendekeza kucheza na Simba kwenye Yanga day

    Kibiashara hii imekaa poa.
  8. pakaywatek

    Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

    Lengo si kuiondoa CCM madarakani bali kuwa na wabunge 30? Huyu zitto anaumwa.
  9. pakaywatek

    DPP tunakuomba usifute hii kesi ili tupate huondo wa sheria

    Lissu akomae tu najua tarehe 15 lazima ipelekwe mahakama kuu na huko kajitetee mwenyewe ili tuone jinsi mfumo unavyovuliwa nguo nakuamini baba mtangulize kibatala awakorogee alafu umalizie.
  10. pakaywatek

    Huenda yanga wakainusuru prison kutokushuka daraja.

    Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi. mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19. hapo hata kanuni...
  11. pakaywatek

    Yanga waache mipasho ili kuhalalisha mapungufu yao ya kiuongozi

    Hakuna klabu kwenye ligi hii ambayo haijanufaika na makosa ya waamuzi siyo ligi hii tu hata huko duniani makosa ya waamuzi yapo.
Back
Top Bottom