Recent content by Pakawapakawa

  1. P

    Mahakama Kuu yampa ushindi Baba wa Mawazo, Mawazo kuagwa na kuzikwa kwa heshima zote

    Tumain Makene; Hii ina maanisha nini?. Wafiwa kujadiliana na Polisi sehemu ya kuagia na Polisi kutoa ulinzi inamaanisha ombi la washitaka au mawakili kutaka Polisi kutojihusisha na msiba wa Marhemu Mawazo limegonga mwamba!.
  2. P

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    Je bahada ya kufunga mkataba na shetwani, nini kitafuata!!!!
  3. P

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    :mad2: "HATA IKIBIDI KUFUNGA MKATABA NA SHETANI ILI MRADI TUSHINDE UCHAGUZI"
  4. P

    Mhe. Hamad Rashid Kuendelea kuwa Bungeni

    Unamaanisha Augustine Ramadhani Rais mtarajiwa!.
  5. P

    Mhe. Hamad Rashid Kuendelea kuwa Bungeni

    Wapendwa wanasheria, Je bado ni halali Mhe. Hamad Rashid kundelea kuwa Bungeni. Mwanzoni pamoja na CUF kutomtambua ilikuwa sawa kwa kufuatia amri ya Mahakama ambayo hakuwa na uwezo wa kufikia mwisho wa shauri hili hata kama Bunge lingekuwa linaendeleaa kwa miaka 10 zaidi. Hata hivyo baada ya...
  6. P

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Akina Sheikh Ponda wako ndani kwa Uchochezi!. Ni uchocheze gani kafanya Mchungaji Gwajima, au kumwambia Askofu pengo hakuwa sahihi kwenda kinyume na wenzake. Na kama ni hilo, tayari Mhe. Askofu Pengo kaisha samehe.
  7. P

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Watiwa mafuta wangu, watiwa mafuta. Hivi nini maana ya watiwa mafuta?
  8. P

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Siku ukiukwaa ndo utajua kilichomtoa nyoka pangoni!. Mungu hapokei rushwa, ngojea siku yako.
  9. P

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Angalia sana maneno yako. Waswahili wameneno, "ujafa hajaumbika"
  10. P

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Mhe. Hoja zako ni nzuri na zenye mantiki. Hakuna shaka Baba Askofu atajirudi na kutoa maelekezo kama wenzake Maaskofu chini ya uongozi wa Maraisi wake wa Baraza la Maaskofu katoliki walivyoelekeza. Siku zote Mwadhama ni mtiifu kama kanisa linavyoagiza.
  11. P

    Unafiki wa baadhi ya Maaskofu wa Tanzania

    Bahati mbaya haukumsikiliza vizuri Mwadhama Polycarp Pengo. Mhe Kardinali alikili ya kuwa maneno yaliyomo katika walaka wa Maaskofu ni wa kinabii na umeandaliwa kinabii. Pia anakiri na kutamuka ya kuwa "Yeye ni nani kuyakatae yaliyomo". Hapa anafahamu kwamba yeye si kitu mbele ya watumishi na...
  12. P

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    Mi nafikiri njia sahihi tugawane nchi. Tanzania Visiwani (Zanzibar) iwe nchi ya Waislamu na Tanzania Bara (Tanganyika) nchi ya Wakristo. Waislamu wote walioko bara waamie Zanzibar na Wakristo wa Zanzibar waamie Tanganyika
  13. P

    Hizi ni dalili kwamba mwanamke wako anatoka nje ya mahusiano, kuwa mwangalifu

    Huu ni wivu tu. Kuoa au kuolewa hakuzuii kupenda!. Kama amependa, kapenda!.
  14. P

    Mbatia kutimuliwa UKAWA?

    Asante Mjukuu wa Nape!. CCM Oyeeee, na zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM!.
  15. P

    Mbatia kutimuliwa UKAWA?

    Kazi kweli kweli!
Back
Top Bottom