Recent content by paka mbaya

  1. paka mbaya

    Duka la nguo za kike linauzwa; location Kinondoni Vijana

    nimekutumia sms naomba ujibu ndugu haraka jioni nifike kupaona. ni duka moja au frame zimepangana?
  2. paka mbaya

    Duka la nguo za kike linauzwa; location Kinondoni Vijana

    million 1 na nusu tu ndugu yangu naomba posti izo picha haraka sana niwahi kupaona tumalize biashara
  3. paka mbaya

    Iphone 7 plain new inauzwa

    Mkuu chukua 920k nipe iyo simu
  4. paka mbaya

    Iphone 7 plain new inauzwa

    Hahaha izo kucha mkuu
  5. paka mbaya

    Iphone 7 plain new inauzwa

    Unapatikana wapi mkuu naomba na namba zako za mawasiliano
  6. paka mbaya

    Msaada kuhusu second round

    Mkuu kwa ufaulu huo kwa Pcm umekosaje chuo mbona mimi nimepata udsm na div 2 ya 10
  7. paka mbaya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mata kaanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mourinho kapanga kikosi au
  8. paka mbaya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    28+ ya kwanza ishatiki[emoji23][emoji23]
  9. paka mbaya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo naweka 28+ timu nyingi zitaanza kwa kujihami pia wachezaji ndo wametoka pre season
  10. paka mbaya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Meridian wanakula pesa zetu vipi wanashindwa kuweka servers sawa
  11. paka mbaya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Baada ya kushinda milioni 3 kwa betting nikaenda likizo,ningejua ningeendelea tu nishamaliza mtaji wote naanza upya tena ila nitafika tu .
  12. paka mbaya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu bado upo zamani sana,naona rockcity kashapotea pande hizi
  13. paka mbaya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zenit win Trencin win Red bull salzburg win Stake 7000 Total odds 3.3 Mdogo mdogo paka mbaya nimerudi
  14. paka mbaya

    Star Wars The Force Awakens

    Habari wakuu, Ile movie yetu kali tulioisubiri kwa muda mrefu imetoka. Mwenye link ya kuidownload au site anisaidie.Nimeitafuta hadi torrents lakini wapi.Au ndo mpaka cinema only.
  15. paka mbaya

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Bajeti yangu ni 250,000 mwenye Samsung au Sony mpya au used njoo tuongee biashara
Back
Top Bottom