dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,590
- 60,795
hahahahaaaaImeibiwa mtaa gani?
hahahahaaaaImeibiwa mtaa gani?
hahaa nlitegemea ili swaliHizo kucha zako.....
Nimeona hayo makucha tu nikasikia kinyaa hamu yote ya simu ikaisha duu.Kucha kama sokwe... Halafu mkono wa kushoto huo. Ukienda kuchamba mavi yote yanabaki kwenye kucha. Kinyaa.
Sio mbaya sema ningependa kukujibu aliepiga izo picha ni mtu mwingine ila ujumbe ntamfikishiaNimeona mayo makucha tu nikasikia kinyaa hamu yote ya simu ikaisha duu.
Aisee mzee baba hakikisha leo huendi kulala bila kukata hayo makucha aisee machafu sanaaa,sanaaaa