Recent content by paka hotel

  1. paka hotel

    Middle East: Syria, Iran vs Israel tayari kimenuka. Usiku huu!

    Watu walishachoka na vita ujue
  2. paka hotel

    Vijana wasio na ajira ni sawa na petroli nyumbani

    Hao wanao takiwa kuishauri serekali wanakalisha matako tu huko bungeni halafu wanasema vijana wajiajiri wao wameweka matumbo mbele hawajui shuruba watu wanazokutana nazo ukiwa na kamtaji kako kila mtu anakitolea macha mara tra mara manispaa
  3. paka hotel

    Nakaa nao Ukonga, ni jirani yangu yupi hapa kaharibu picha ?

    Mimi mpaka nione maeneo yangu ndio niweke neno maana huwezi nipangishia nyumba bila kukagua choo
  4. paka hotel

    Natafuta mbwa aina ya German shepherd

    Dah aise kumbe kuna jamaa alikuaga nao lakini alikua anawauza bei ndogo kweli kumbe wanabei hivyo
  5. paka hotel

    Ado Shaibu: Zanzibar Kisingizio tu kwenye kashfa ya TZS 1.5T

    Msaidizi wa pole pole sema hawa watu kwa kujitoa ufahamu
  6. paka hotel

    Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Hio mbona kuna kipindi ilikua inakuja hapo JNIA sio mara ya kwanza
  7. paka hotel

    DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

    Shida hawazi kugusa huko maana si unajua mwenye shea huko ni ngosha.vuta picha ungekua ni mtu kutoka sehemu nyingine ungekuta matamko kibao
  8. paka hotel

    Askofu Dr Benson Bagonza: Hatuna duka linalouza hekima ukiwa mwizi ujifunze na kukimbia

    Wasije wakazima tu hii mtandao maana kuna watu wamepanick
  9. paka hotel

    Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

    Shida hata huyo ambae sio maarufu nae akisha olewa na supa staa atataka nae kujionyesha ujue
  10. paka hotel

    Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

    Bongo utazipata kwa nani kama wanashindwa kufinya faragha zao wanazo fanya vyumbani
  11. paka hotel

    Muonekano mzuri

    Ewaaaa ndio habari hio aise mama sabr
Back
Top Bottom