Recent content by päiva

  1. päiva

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu magari yanayouzwa na Jan Japan Tanzania

    Habari za jioni. Naomba kujuzwa kuhusu magari yanayouzwa Na Jan Japan kwenye show rooms zao hapa Tanzania. Je ni waaminifu? Kwa maana hawacheezei speedometer au kubadilisha vifaa by magari? Nawasilisha
  2. päiva

    JamiiForums Tanzania Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Ananiambia yeye Ni sales manager [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. päiva

    JamiiForums Tanzania Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Kabisa bro
  4. päiva

    JamiiForums Tanzania Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Nilisha mshtukia kitambo
  5. päiva

    JamiiForums Tanzania Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Ngashtuka namchora tu
  6. päiva

    JamiiForums Tanzania Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Mmoja kunitumia hiyo email haseemkhan41@gmail.com
  7. päiva

    JamiiForums Tanzania Ajenti wa Beforward toka Pakistan

    Habari Ndugu Je Kuna MTU alishawahi kuagiza Gari toka Kwa Hawa wanaojiita maajenti wa Beforward, lakini wengi wao ni watu toka Pakistan? Je waaminifu ? au matapeli tu?
  8. päiva

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Bei ya gearbox ya Nissan Xtrail NT 31 ya 2008 ikoje?
  9. päiva

    JamiiForums Tanzania Taa ya ABS na VDC au SLIP LIGHT

    Hizo taa zinazimwa na mashine. Upate fundi mwenye mashine nzuri anazima bila shida. Ni kawaida Kwa Nissan X-Trail new model, ukifungua miguu zinawaka.
  10. päiva

    JamiiForums Tanzania Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

    Naomba link PM
  11. päiva

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Mrs. Prosscovier Luhaga afariki Dunia

    Mwampaja hatunaye pia. Ni mwezi Sasa tangu ametutoka
  12. päiva

    JamiiForums Tanzania Msala ambao siwezi usahau kamwe

    Huna maana kabisa..,..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. päiva

    JamiiForums Tanzania Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Niko Kigoma naombeni connection za pisi Kali....
  14. päiva

    JamiiForums Tanzania FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

    Khaaaa....
  15. päiva

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Habari mkuu, Natafuta shockup za mbele na nyuma pamoja na spring zake za Toyota Spacio old model. Bei ikoje?
Back
Top Bottom