hao wabunge wenu wenyewe si walevi tu,na sana sana huwa wanakunywa konyagi,kwanini wasipokee hiyo misaada,wakati wao ndio wadau wakubwa:A S thumbs_down:
mzungu siku zote atabaki kuwa juu,ana vyombo vya khabari vya kutosha vya kuweza kumdanganya mtu mpaka akaamini uongo alioutengeneza kuwa ni kweli ili tubaki kuwa watumwa wa mataifa yao kwa miaka mingi zaidi kadri inavyowezekana.
nani kakwambia maandamano ndio dawa??!!
je katika kuandamana kwenu ikitokea miripuko nani alaumike??!!!
kukurupuka kwa waandamani ama vyombo vya usalama??!!
ni wakati wa kutulia na kupunguza mikusanyiko isiyo na maana na kuwacha vyombo husika vichunguze kwa undani sababu za mripuko,na nani...
swali la kifala kabisa ni sawa na kuuliza kufa njaa au kufa masikini ipi inasikitisha zaidi??!!
jibu la swali lako ni kuwa yote hayo ni majanga mazito kwa taifa letu
ni baada ya kuingia mkataba na shirika la mobily,awapa heko waislamu,asema anaelewa mengi yanayozungumzwa katika vyombo vya khabari juu ya waislamu ni uzushi!!!
ya miripuko ya boston wamechukua kumbukumbu za video kutoka kwenye camera walizosambaza katika kila kona ya miji yao(kama ilivyo kawaida kwa nchi zenye maendeleo)wala hawakuchora!!!!!!!!!!
dini na siasa wapi na wapi???!!!
askofu beba msalaba kanisani na waachie siasa wana siasa,kama vile mashekhe wa uamsho kina issa ponda tunavyowaomba waendelee kukemea maovu yaliyokatazwa na dini zao kama vile,uzinzi na .......................... waachieni siasa wana siasa askofu utasema...
ukizungumza kitu zungumza kwa uwelewa mpaka na ufafanuzi kwa mifano:
bwana askofu kufungamana na china ndio msingi wa maendeleo katika nchi masikini kama yetu kwa sababu
1:miaka ya nyuma ni wachache waliokuwa wakimiliki honda ya mjapan sasa hivi karibia kila nyumba utakuta kuna piki piki ya...
hivi kuwa na mahusiano mazuri na israel ndio kufanikiwa kisiasa na kibiashara!!!!wacha kupandikiza fikra mbovu katika jamii,si tatizo kuwa na uhusiano na israel na kufungua ubalozi,lakini kufungamana nao sio sharti la kufanikiwa kwetu,watu wangapi huko israel wamejichoma moto katika miezi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.