Picha Niliyoipenda

Picha Niliyoipenda

mwaJ

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Posts
4,074
Reaction score
2,950
Kati ya picha zote nilizoziona JK amepiga na wasanii, hii nimeipenda zaidi.

attachment.php
 

Attachments

  • Bi Kidude.jpg
    Bi Kidude.jpg
    25.2 KB · Views: 425
mama jk kweli alipendeza!
ila sasa mama salma kwani kila nguo lazima avae kilemba
sasa hapo hebu dekshia
tisheti,kosti na kilemba juu!
imagine koti jekundu na t-shirt nyekundu na kilemba kina wekundu wekundu!
mweee!
 
Zinduka mradi wa Sugu huo wahuni wa Clouds wakamzunguka mazima.
 
mama jk kweli alipendeza!
ila sasa mama salma kwani kila nguo lazima avae kilemba
sasa hapo hebu dekshia
tisheti,kosti na kilemba juu!
imagine koti jekundu na t-shirt nyekundu na kilemba kina wekundu wekundu!
mweee!

Amemechisha kizamani. Yeye hafagilii colour combo! Kilemba nadhani ni kwa ajili anafuata maadili ya kidini ya mwanamke kutokuacha kichwa wazi.
 
imetulia ila mama kikwete kama ana wivu anavyomtazama si angemshika hata bega marehem jaman??
 
Back
Top Bottom