Recent content by Padone EPM

  1. P

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarships students 2025-2026 mwenye nayo atuwekee hapa please

    Yaaan hao 100 ndo wenye Vigezo na ndo wanahitajika kama upo kwenye list apo bdo utahitajika kuomba ila kama haupo hapo ata usijisumbue
  2. P

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarships students 2025-2026 mwenye nayo atuwekee hapa please

    Ndio wenye vigezo vya kuomba hao 100 tu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarships students 2025-2026 mwenye nayo atuwekee hapa please

    Nenda wizara ya elimu bana kuna List ipo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ugonjwa wa Monkey poxy upo kuweni makini

    Yaani kujilinda apo usipige Romance na mwenza yoyote wala kufanya mapenzi wengine wanayo ila Dalili zinakuwa bdo hazijajitokeza kwa ukubwa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ugonjwa wa Monkey poxy upo kuweni makini

    Apo ni Dawa za maumivu tu kama panadol na ya kupaka tu na usiku unaweza usilale ko mimi nilikuwa napiga na piriton ya mafua inaleta usingizi Mulua mpaka asubuhi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ugonjwa wa Monkey poxy upo kuweni makini

    Ni ugonjwa wa kawaida sana huo ata usiogope mimi nimetoka naumwa pamoja na mapisi zangu wote niliokuwa nao yani.. wiki mbili tu unakuwa vizurii
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

    🙂🙂Vipodozi apo mtu aje kuongeza mtaji
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Ndo kwanza nimeanza kulicheza rasmi juzi
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Okay
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    vnvking
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Mimi apa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mwenye anahisi ana mbanga wa uhakika anifuate inbox tubonge Offer ipo nzurii pay After Kufika msata Rts
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    😂😂😂wazee majeshi sana Raia tushaachana na hizi mambo
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Natania Man sema hizi inshu ni Bahati sana kupata yan.. kuna wakati unaweza kuwa unapoteza muda tu..
Back
Top Bottom