Recent content by PACHOTO

  1. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Ibra wa Konde gang anahitaji msaada wa haraka

    Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo tu, Kijana anaguraji msaada wa haraka kuna mazito anayapitia kwa sasa ila haiwekwi wazi tu
  2. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

    Aisee HARMONIZE Ni mwaaume
  3. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Kilichopo Ni chuki dhidi ya WAARABU period!
  4. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    wakuu afu kwenye kipengele cha wilaya,tarafa,kijiji na jimbo mbona inasema not found... msaada mwenye kujua zaidi
  5. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuanza kutumia wakandarasi kuunganisha umeme wateja

    kazi zingine za kiiinjinia
  6. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

    korosho zilikuwa za watu wa dini gani,?
  7. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania The Guardian: Wamasai kufukuzwa kupisha Mwarabu (UAE) kuwinda Wanyama!

    baada ya futuru tuonane shekh nina pakti yako ya Tende
  8. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Ukiisoma ripoti ya CAG kwa ufisadi huu lazima ujisikie kichefuchefu

    halafu kuna watu wanamtetea marehemu kisa ni wa dini yao, nchi hii ina watu wapumbavu sana
  9. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    fuatilia kwa umakini lilitoroshwa lini hilo jiwe? usiwe mropokaji tu
  10. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

    nawashangaa sana aisee, yaani hata kama mtu alikuwa muovu hawataki asemwe kisa ni dini yao
  11. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Hivi wale Waislam wa kipindi kile walipotelea wapi?

    eti muziki sio haramu, hiyo kwa imaani yako, usilazimishe na wengine waamini hivyo period!
  12. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

    hivi kwa nini watetezi wa Jiwe wakubwa ni wale wa dini yake?
  13. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kusaga inauzwa!

    kama ni mwezzi mmoja tu iko hali hiyo, ikifika miezi sita itakuwa balaa mkuu
  14. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

    Racial discrimination, kwani hao waarabu ni raia wa nchi gani? hebu tuchangie kwa kutumia akili, ama una chuki sanaaa na waaaabu sio!
Back
Top Bottom