Recent content by Pachama

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya posho wanayopokea madiwani wa Arusha mjini na maeneo mengine ya nchini

    Kadai kwanza za sale za polisi hewa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    sasa hata deo anautaka ubunge haka kajamaa kana dna ya ccm hata nyumbani kwao bendera za ccm ndio salamu na kielelezo kabla hujabisha hodi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    mbona rahisi tu kutoa mfuko wa kushoto na kuingiza mfuko wa kulia hizi ni filam za ccm
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Zitto kufuatia vurugu za kwenye Mikutano

    ameshajishtukia mwenyewe sio vurugu tu hata vipigo vinakuwagepo pia asisahau kabisa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Heri ya pasaka wananchi wa Kigamboni, Hongereni kwa maamuzi magumu dhidi ya Diwani.

    kazi nzuri pamoja na vikwazo vingu ushauri mwingine hii adha waliyokutana nayo waipeleke katika mikutano yao mikuu ya mtaa na waeleze jinsi wanavyo kwamishwa na diwani pia wajenge hoja katika vikao vya kamati ya maendeleo ya kata wdc
  6. P

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    eti mambo mengine hayawahusu??? Huyu siyo askofu na bila shaka atakuwa anaongozwa na roho mtaka vitu na sio roho mtakatifu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya kamati kuu ACT - Wazalendo haya hapa

    huyo sio msemaji wa mwisho bado kuna kiongozi mkuu nae tamko lake lije
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mrema aweweseka na ujio wa Mbatia jimboni Vunjo

    kwani huyo mrema si aliwahi kujitangaza kwamba amepona kisukari baada ya kunywa kikombe cha babu kule loliondo?? Sasa tena anatapa tapa nini?? Wabunge sampuli hii kuchaguliwa tena nimatumizi mabaya kwa wanavunjo tena
  9. P

    JamiiForums Tanzania CUF: Tunalaani fitina za kuigawa UKAWA zinazofanywa na wana UKAWA

    Yatakushinda kama yalivyo kwisha washinda wenzako na unafki wenu mtasubili saaana
  10. P

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa ACT-TANZANIA aukumbusha umma juu ufutiliaji wa bunge

    Pole sana na usaliti wako
  11. P

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

    Bado kule tarime ambako ccm waliahilisha kuwaapisha wenyeviti na wajumbe ktk halmashauri ya mji kwa zoezi hilo lilikwama trh30.12.2014 likasogezwa baada ya maccm kutaka kuapishwa kwa mitaa miwili kwa nguvu wakapewa kichapo kisha hakimu akaishia njiani wakapanga trh6 ya juzi nayo imeshindikana...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nime amini ACT ni CCM, leo Kiongozi wa ACT na wa CCM jukwaa moja huko Mwanza

    Hayo ni maelekezo ya mwenyekiti wa ngome ya vijana nyakarungu
  13. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA maji ya shingo Sirari

    Kwanza unapotosha kwanini usionyeshe mbele ya mkutano mhutubiaji anaangalia mbele kumaanisha ndiko kuna watu pia hiyo sirari huwa ni ccm na history inaonyesha hivyo sasa huamini nini sasa ???
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Mpendae aidhalilisha CHADEMA

    Hiyo ni elimu tosha kwa kutusaidia CHADEMA kwani wanainchi wataendelea kuichukia ccm na dola yake kwa manyanyaso na dhihaka asubili.2015
  15. P

    JamiiForums Tanzania CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

    Nawamlipe ili iwe fundisho kwa hawa wana ccm chumia tumbo wanaotumiwa
Back
Top Bottom