Recent content by pablo5060

  1. pablo5060

    JamiiForums Tanzania SoC02 Na Masters yangu, niliamua kwenda kulima Mboga mboga za kuuza baada ya ajira kuwa ngumu

    Imekaa poa chamsingi ni kuweka mbali uoga, Side effects[emoji38] umeshaanza kusahau hadi kuandika sasa yani masters yenyewe ishakutoka, tafuta kazi kwa kurelax sasa ukalipe deni la serikali[emoji28]
  2. pablo5060

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

    Wadau tunajuana mimi marafiki zangu najua nawakuta wapi na wao wanajua wananikuta wapi apo me namtetea mwamba asingeweza kuchukua risiti huo sio ushahidi izo ni dhana zako tu mbovu
  3. pablo5060

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji38]
  4. pablo5060

    JamiiForums Tanzania Mfumo unatulazimisha kusomesha watoto shule binafsi au ni ujinga tu wa watu wachache kukwamisha shule za Serikali?

    Najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu hapa Bongo, ni kwamba system inatulazimisha tusomeshe watoto wetu shule binafsi au ni upuuzi tu wa watu wachache kuna mambo yananishangaza sana kuhusiana na hizi shule za Serikali. (1) Hivi kama tunalipa tozo kwenye simu hadi umeme serikali inachukua...
  5. pablo5060

    JamiiForums Tanzania Akiba ya damu Tanzania iliyopo ni chupa 375,000, uhitaji ni chupa 550,000 hadi 600,000

    Hii dam tunaziwa hospital lakini
  6. pablo5060

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Unapozungumzia uislam kuletwa Africa kuna historia ambayo unatakiwa kuijua yani ipo ivi kipindi Muhamad anawaambia watu wake kua yeye ni mtume imeshushwa kwake quran watu wa makkah walimpinga nakumpiga vita kwasababu walikua wakiabudu mizimu na masanam nakufata mila za babu zao kama ilivokua...
  7. pablo5060

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nauli ya Dar mpaka China ni bei gani?

    Ngoja nikupe namba ya jamaa wa bolt
  8. pablo5060

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

    Ngoja nikufunze jambo moja ambalo huwa hamzingatii wanawake.. Kumzuia mke kushika sim sio kwasababu ya umalaya tu kuna mambo mengi ambayo yanawachanganya sana kwasababu mda mwingi mnatumia hisia zaidi kuliko akili unaweza kutana na jambo ambalo halihusiani na uzinzi ukaliwaza tofauti kabisa...
  9. pablo5060

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

    Kwani we dini gani ? Kama ni muislam dini inatoa muongozo kwenye mambo ya ugeni mgeni anatakiwa asikae zaidi ya siku 3 ugenini ni rahis sana kuwakimbiza kwa kutumia njia za kiimani usiishi kwako kama msela nondo lazima uweke misingi yani simamia upande mmoja kua strict watu hao wanapenda anasa...
  10. pablo5060

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. pablo5060

    JamiiForums Tanzania Tukio gani ulishawahi lifanya na huwezi kulisahau?

    [emoji23][emoji23]based on true story
  12. pablo5060

    JamiiForums Tanzania Tukio gani ulishawahi lifanya na huwezi kulisahau?

    Kila mtu anayo historia ya matukio mbalimbali yaliyowahi kumkuta katika harakati za kukimbizana na maisha na kulisogelea kaburi, "We live once... one day we will leave this world behind" Hakuna jambo zuri kama kufurahi wazee nakumbuka zamani licha ya kua wengi wetu tulikua katika mazingira...
  13. pablo5060

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

    Mtoa uzi naona kama hajielewi ivi sifungamani na pande yoyote ila alieandika uzi huu huenda anamatatizo ya akili au anachuki binafsi inamsumbua. Utashangaa zaidi mtoa uzi jina lake anaitwa john, Lucas, peter,alex... Alafu kaumia mwenzake kuitwa Hassani, Rashidi, Abdallah Mtoa uzi ni punguani...
Back
Top Bottom