Recent content by P.master

  1. P

    Kuanzia sasa sitatazama ITV

    Wewe ndio mbaguzi kwani ACT lazima irushwe kwenye taarifa ya habar ITV?? ulkiona huvyo mlikua hamna jipya kwenye mkutano
  2. P

    Kikwete: Tusiwasikilize wanasiasa wanaowagawa Watanzania na kutumia fedha kutafuta madaraka...

    Dakika za majeruhi ndio anatamka maneno hayo asubiri mafuriko part 2 yakubomoka kwa ccm kuanzia jumatatu ijayo
  3. P

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wazo zuri ni kueekeza kwenye miradi midogo midogo miwili au mitatu kama kununua mahundi kuweka stoo na kingine wamesahau ni mpunga ndugu nao ukiweka stoo baada ya miez kadhaa wewe ni tajiri unaweza kupata mahindi kwa gunia 35000 au 40000 baada ya miez 4 au 6 unauza 70000 mpaka 80000 mpunga nao...
  4. P

    CHADEMA wakamatwa na mashine ya BVR wakiandikisha watu usiku

    Mleta mada mnafki na muongo kwanza wewe mwenyewe umejistukia kwa kusema waandishi wasiikanushe kwa kuwa unajua uwongo wako utaishia kwako hauwez kwenda kwenye tv wala redio na gazeti la mtu pumbavuuuu
  5. P

    Bosi anataka kunifukuza kazi chanzo ni mkewe, mniombee

    Kuna mkanganyiko humu kwenye story yako / 1. mmeachana mwaka umeoa mke na ndoa juu na bos kafunga na mrangi wako ndoa kwanza kakusaliti vizuri tu na mchana kweupe macho makavu na wewe kwa limbwata alilokupa miaka kadhaa iliopita leo kakuchokonoa kidogo na wewe umewaka tena kimapenzi kifuatacho...
  6. P

    Malecela na kamati ya wazee

    Ila atakuwepo na unafki wake 1995 alisema lowasa hafai kuwa rais 2015 anakuja na sera za kumpamba et lowasa pekee ndie msaf duu sijui ni uzee??
  7. P

    Baada ya tarehe 12/7 hivi ndo itakavyokuwa

    Napenda lowasa akatwe moja atasaidia sana kuizika ccm mbili upinzani utakuwa kwa kasi kubwa maana lijamaa jizi limeiba hadi wanachama wa chama chake na ameweza kubadili njano kuwa nyekundu et yeye pekee ndie msafi ndani ya ccm duu
  8. P

    Makongoro Nyerere arudisha fomu ya Urais

    Akajaribu uwenyekiti wa mtaa huko musoma kwake maana huku kwetu hata ujumbe hapati
  9. P

    Wananchi wa Arusha walaani Rais Kikwete kutoitumia Ikulu ndogo iliyoko hapa Arusha

    Apewe slaa na mbowe wake watangaze uhuru wa kaskazini maana ni waroho wa madaraka
  10. P

    Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

    Huyu mzee sijui amekula maharagwe ya wapi yulee!!
Back
Top Bottom