Recent content by P.MASHINE

  1. P

    JamiiForums Tanzania Gari la ACT Wazalendo, laua mtoto mdogo Tabora

    Dereva si ndugu yake zito
  2. P

    JamiiForums Tanzania Daktari aliyeacha kitambaa tumboni mwa mgonjwa kulipa fidia mamilioni

    Inabidi alipwe hata mil. 55 au105 afute machozi maana kama alikua hana mtoto ndio kashakua tasa hatapata mtoto tena hata aende kwa mzee wa upako
  3. P

    JamiiForums Tanzania Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Anaumbuka flora au huyo binti aliemtoa kafara shemeji ake?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Poa kaka asante kwa ushauri wako ndugu nimepata elimu tosha kwa hlo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    tra kama hyo body itakua inadaiwa itabidi ilipiwe rl. Na je watahtaji kadi yake?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    poa ndugu! Nimekupata
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante mkuu nina swali mim nina gar yangu pia kuna jamaa anataka kuniuzia body tupu nifunge kwenye gari yangu hais sasa kadi itasoma tofauti na body inakuaje hapo ili nioanishe engine namba na cheses namba kwenye kadi yangu?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kaka nikihitaji kununua gari kwa mtu mkononi vitu muhimu vya kucheki ni nin na nin ndugu?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    Taifa imara
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    Jana katika taarifa ya habari I.T.V nilimwona meng akisema kuna gazeti la taifa imara limehapisha habari kuwa "zito alienda ikulu na kumwambia j.k kuwa anaeiangusha mara kwa mara serikali yake ni meng na gazeti hlo likaenda mbali zaidi na kudai j.k ameapa kumshugulikia mengi!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Jeshi la police limeshauri kuwekwa adhabu ya kifungo cha maisha kwa dereva atakae sababisha ajali na kuua na kudai haiwezekani auwe watu 20 au 30 aishie kulipa fain sh, 30,000
  12. P

    JamiiForums Tanzania Polisi aitwaye Ayoub wa Kituo Cha Ruhembe Kilombero, amgonga Boda, apigwa

    HAA HAA!! NACHEKA LEO POLISI ANAWAOGOPA WANANCHHI? KWELI wapigwe tu maana hakuna njia nyingie!!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 147 wauawa na alshabaab huko garissa Kenya

    Anaewauwa wakenya ni rais kibak na uhuru kenyata kupeleka majesh somalia wala sio alshabb
  14. P

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya Muhammadu Buhari ambaye ndie rais mpya wa Nigeria kupitia upinzani

    Ni muislam mzaliwa wa jimbo la katsina kaskazini mwa nigeria mwaka 1942 je? Ataiokoa nigeria katika vita dhidi ya Boko haram?? Mungu ibariki africa,
  15. P

    JamiiForums Tanzania Bodaboda anusurika kuchomwa moto

    Wapigwe tu maana hakuna njia nyingne,
Back
Top Bottom