Wote tunajua kua infinity ni mwisho usio fikika mfano namba
1, 2, 3, 4, ...
Je kuna Infinity kubwa kuliko mwenzake mfano infinity ya
1, 2, 3, 4, 5... nisawa na infinity ya
2, 4, 6, 8, 10... ?
Jibu ni kwamba infinity zote ni sawa mfano infinity ya 2, 4, 6... imepatikana kwa kuzidisha 1, 2...