Recent content by Ozoner

  1. O

    JamiiForums Tanzania King kiba noma!

    Chombo cha habari maarufu barani Africa na kinachodhamini tuzo za MTV mama African music awards kimepost taarifa za wasanii watakao perform siku ya event 22/10/2016 akiwemo,Alikiba kutoka Africa Mashariki,Jamani wameamua kuonja asali watachonga mzinga.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Diamond na Alikiba wapambanishwa

    Utumwe tuzo kubwa barani Africa ufate Afrimma kama una mkwanja wape utatangazwa mshindi hata ukitoa single Kesho
  3. O

    JamiiForums Tanzania Alikiba vs Yamoto band

    Angalia hizo categories vizuri wewe
  4. O

    JamiiForums Tanzania Alikiba azidi kun'gara

    Star wa bongo flava Alikiba anayefanya vizuri na ngoma yake ya `aje' ,imetangazwa kuwa number #1kwenye playlist ya streaming app iitwayo Deezer's Africa rising playlist ambayo makao makuu yake ni nchini France Paris na imeenea zaidi ya nchi 180 duniani.Tembelea www.deezer.com
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nini kifuatacho baada ya mizigo na meli kupungua bandari ya Dar?

    Wanaomshauri mkubwa c wazuri sawa na kutaka kumridhisha mpenz wako kwa kumtomasa kwenye nywele zake za bandia.
Back
Top Bottom